Wadada na namba ya simu...

Wadada na namba ya simu...

Ukimuelewa unampanga onspot unatema cheche, akili za siku hizi ukipewa namba ndio imetiki mmetoa wapi?
 
Mtu niko zangu huko KWA wahdzabe na napanza zangu fuso kwenda kuchaji simu mjini harafu unataka nipokee simu hovyo hivyo[emoji849][emoji849][emoji849]sio kweli Jaman ee
Mmm mtatua jamani
 
Nlichojifunza kwa hawa viumbe nguo nyingi ni kuwa simu yake ispopigwa na wanaume, kila anayemwomba namba ana mpa ili tu uwepo usumbufusumbufu wa hapa na pale. Ila si kwamba kakuelewa. Akiwa ana waiting list labda ya watu 10 wote wanabaki kuwa status pending ila ana mmoja ama wawili ama wanne ndo wana confirmed status. Km mm mschana mdogo sana anatoksha kuwa mtoto wa kuzaa kanielewa kishenzi, tunagidana hata kwenye gari karibu kila siku almost mara nne hedi tano kwa week. Hajwahiniomba hela ila nikagia simu yake washkaji wanapigwa mizinga balaaa, akaniambia hao wamejipendekeza wwnyewe.
Zinduka analiwa..?
 
Nyie kina dada acheni ujinga, kujidai na kujiona.

Unakutana na mdada unamuelewa unamuomba namba ya simu,bila iyana anakupa namba, uki-beep kweli simu yake inaita,kumaanisha amekupa namba ya ukweli.

Basi baadae ukianza kumtext hajibu sms, Wala hapokei call. Wadada wa kibongo acheni ujinga,kama hujamuelewa msela husimpe namba yako,maana mnatoa kwa moyo bila kulazimishwa.

Uzi tayari
Unaanza na muamala kwanza
 
Tafuta hela broo,,, hawa viumbe hawako busy hata,
Hawa viumbe muda wote wako na simu, hawa viumbe hawawezi kumnunia mwanaume man, hawa viumbe wanajua kujali hatar hatkama humpendi,
Tafuta pesa bro ⚒️⚒️
 
Nyie kina dada acheni ujinga, kujidai na kujiona.

Unakutana na mdada unamuelewa unamuomba namba ya simu,bila iyana anakupa namba, uki-beep kweli simu yake inaita,kumaanisha amekupa namba ya ukweli.

Basi baadae ukianza kumtext hajibu sms, Wala hapokei call. Wadada wa kibongo acheni ujinga,kama hujamuelewa msela husimpe namba yako,maana mnatoa kwa moyo bila kulazimishwa.

Uzi

Tatizo bhana mkipewaga namba nyie mnawaza kutongoza tu

Kuna masaa tunatoa namba ili kuongeza tu marafiki
 
Nlichojifunza kwa hawa viumbe nguo nyingi ni kuwa simu yake ispopigwa na wanaume, kila anayemwomba namba ana mpa ili tu uwepo usumbufusumbufu wa hapa na pale. Ila si kwamba kakuelewa. Akiwa ana waiting list labda ya watu 10 wote wanabaki kuwa status pending ila ana mmoja ama wawili ama wanne ndo wana confirmed status. Km mm mschana mdogo sana anatoksha kuwa mtoto wa kuzaa kanielewa kishenzi, tunagidana hata kwenye gari karibu kila siku almost mara nne hedi tano kwa week. Hajwahiniomba hela ila nikagia simu yake washkaji wanapigwa mizinga balaaa, akaniambia hao wamejipendekeza wwnyewe.
Umeongea kwa uchungu'' sana
 
Back
Top Bottom