Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,681
- 8,707
Unanidai zawadi kubwa ila suprise
jamani utaniua kwa presha
Unanidai zawadi kubwa ila suprise
hapana wala sina ubavu huo tunajadiliana je unajua kuwa watu wengi wanaoa mke mmoja na wanamichepuko kadhaa nje ,je ndio mpango wa Mungu,je mpango wa Mungu kuwa dada zetu wapate Ttaabu kusaka ajira pia wapate taabu kusaka mume
jamani utaniua kwa presha
Yote hiyo ni kutaka kuhalalisha uzinzi.
Honey Faith ndio hali halisi huku mitaani mtu anajifanya ana mke mmoja siku akifa makaburini mnaona vitoto vinafanana na nyinyi pembeni kuna mama analia anagalagala kuliko mke wa ndoa kumbe small house
Unajua wazungu huwa siwaaminiamini,mwanzo walisema sayari ziko tisa sasa wanasema ziko nane na tunakubali.
Tukija kwenye ndoa agano la kale linaongelea ndoa ya wake wengi ila agano jipya linasema mke mmoja ,nasema hiyo ni idea ya mabepari ili masikini ukioa tu imekula kwako lakini wao(mabepari) kwa kuwa wana uwezo wataoa mke mmoja wakimkinai watachepuka kwa mke wa masikini kama akimvutia,ni ngumu sana mwanamme masikini kuchepuka na mke mke wa tajiri kama ikitokea, na ukikamatwa utauliwa,
Hawa wazungu walichakachua hicho kipengele kwa maslahi yao binafsi,kuna amri pia zinadaiwa kuchakachuliwa na wamisionari kama watangulizi wa wakoloni ili kulainisha mioyo ya makoloni(waafrika).
Mimi kama mkristo siamini kama ndoa ya mke mmoja ni agizo la Mungu kwani hakuna mwanamume anayetosheka na mke mmoja na idadi ya wanawake ni wengi kuliko wanaume ,hivyo wadada msioolewa muwalaumu wazungu kwa uongo wao.
Makanisa ya kiroho kumejaa mabinti warembo kwelikweli wanaombewa kila siku wapate wanaume wa kuwaoa kisa uongo wa mzungu.

Afu wewe apo Honey Faith unaninaniiigi sana!!!! Basi tu nashindwa kupasuka...........!

marrying another constitutes adultery. "So then if, while her husband liveth, she be married to another man, she shall be called an adulteress: but if her husband be dead, she is free from that law; so that she is no adulteress, though she be married to another man" (Romans 7:3). So the wife is bound to one man.Wewe ni mkristo usiyesoma. Kuna vitu viwili ambavyo watu wengi huoenda kuchanganya na kushindwa kutifautisha. Utamaduni na dini. Waarabu wana utamaduni wao kwa mfano, sehemu walizoeneza dini ya kiislamu watu walianza kufuata utamaduni wao, kwa mfano kuvaa kanzu, kofia n.k.
Kadhalika hakuna amri ya mungu kwenye biblia ina kataza kuoa mke zaidi ya mmoja. Watu walioleta dini kama za kikatoliki kwa mfano walikiwa wanaunganisha dini na tamaduni zao.Kama tamaduni zao ilikuwa kuoa mke mmmoja basi wakafanya hivyo.
Naamini ukristo hauzuii kuoa mke zaidi ya mmoja.
Unajua wazungu huwa siwaaminiamini,mwanzo walisema sayari ziko tisa sasa wanasema ziko nane na tunakubali.
Tukija kwenye ndoa agano la kale linaongelea ndoa ya wake wengi ila agano jipya linasema mke mmoja ,nasema hiyo ni idea ya mabepari ili masikini ukioa tu imekula kwako lakini wao(mabepari) kwa kuwa wana uwezo wataoa mke mmoja wakimkinai watachepuka kwa mke wa masikini kama akimvutia,ni ngumu sana mwanamme masikini kuchepuka na mke mke wa tajiri kama ikitokea, na ukikamatwa utauliwa,
Hawa wazungu walichakachua hicho kipengele kwa maslahi yao binafsi,kuna amri pia zinadaiwa kuchakachuliwa na wamisionari kama watangulizi wa wakoloni ili kulainisha mioyo ya makoloni(waafrika).
Mimi kama mkristo siamini kama ndoa ya mke mmoja ni agizo la Mungu kwani hakuna mwanamume anayetosheka na mke mmoja na idadi ya wanawake ni wengi kuliko wanaume ,hivyo wadada msioolewa muwalaumu wazungu kwa uongo wao.
Makanisa ya kiroho kumejaa mabinti warembo kwelikweli wanaombewa kila siku wapate wanaume wa kuwaoa kisa uongo wa mzungu.
Huyo mmoja uwa anawashinda, ukioa wawili si utajinyonga, actually ni wewe wa kuwashukuru wazungu.
watatu
Mkuu kuna kaukweli hapa wanawake tupo wengi jamani,nakumbuka ilikuwa sikukuu ya idd mwaka juzi tuliona kwenye taarifa ya habari vitoto vilivyozaliwa kwenye sikukuu Dar es salaam sikumbuki ni hospitali gani,vilikuwa vichanga 38 kati ya hivyo 8 tu ndio vya kiume 30 ni vya kike, sasa nikapiga mahesabu labda kila kichanga kimoja cha kiume kioe wake watatu au wanne kati ya hivyo vichanga 30 vya kike, ndio vitakuwa vimeolewa vyote.