Kanisa liruhusu ndoa za mke zaidi ya mmoja

SONDR

JF-Expert Member
Apr 18, 2019
271
642
Wana jamiiforums kama makanisa yanaruhusu na kuunga mkono ndoa za jinsia moja
Mfano wa makanisa hayo ni Angrikana, Roma, kanisa la mitute viongozi wake wametoka hadharani na kutangazia wafuasi wao kuwa makanisa hayo yana ungamkono ndoa za jinsia moja.
Swali langu la msingi ndoa ya jinsia moja na ndoa ya mke zaidi ya mmoja ipi nidhambi iliyotukuka.
Nafikiri ndoa ya jinsia moja ni dhambi na nichukizo kwa Mungu kuliko ndoa ya mke zaidi ya mmoja.
Tunawaomba viongozi wa madhehebu mbalimbali waturuhusuni wanaume wa kikristo kuoa mke zaidi ya mmoja kuliko kuruhusu ushoga na usagaji mbele ya madhabahu ya bwana.
 
Swala la ndoa sio maamuzi ya kanisa, Ni Neno linasema hivyo kwa ajili ya tamaa Kila mtu na awe na mke wake au Mume wake( soma 1Wakorintho) tafuta pia ktk Injili Bwana Yesu Alivyozungumzia ndoa.
Kama unataka Mbingu jitahidi kujifunza Neno na Kuliishi maana Mungu Hadhiakiwi.
 
Wana jamiiforums kama makanisa yanaruhusu na kuunga mkono ndoa za jinsia moja
Mfano wa makanisa hayo ni Angrikana, Roma, kanisa la mitute viongozi wake wametoka hadharani na kutangazia wafuasi wao kuwa makanisa hayo yana ungamkono ndoa za jinsia moja.
Swali langu la msingi ndoa ya jinsia moja na ndoa ya mke zaidi ya mmoja ipi nidhambi iliyotukuka.
Nafikiri ndoa ya jinsia moja ni dhambi na nichukizo kwa Mungu kuliko ndoa ya mke zaidi ya mmoja.
Tunawaomba viongozi wa madhehebu mbalimbali waturuhusuni wanaume wa kikristo kuoa mke zaidi ya mmoja kuliko kuruhusu ushoga na usagaji mbele ya madhabahu ya bwana.
Sijasoma uzi wako. Headlines imenipa picha kuwa akili yako bado ndogo.

Kanisa ndio nini. Ndio maana mnaendeshwa na hao wenye makanisa hadi mpigwe vibao ndio mtashtuka kuwa makanisa ni makutano ya kihuni ndio maana leo mnaambiwa mlane wanaume kw wanaume lkn kuoa mke zaid ya m1 mnakatazwa shame on u msiokuwa na akili
 
Wana jamiiforums kama makanisa yanaruhusu na kuunga mkono ndoa za jinsia moja
Mfano wa makanisa hayo ni Angrikana, Roma, kanisa la mitute viongozi wake wametoka hadharani na kutangazia wafuasi wao kuwa makanisa hayo yana ungamkono ndoa za jinsia moja.
Swali langu la msingi ndoa ya jinsia moja na ndoa ya mke zaidi ya mmoja ipi nidhambi iliyotukuka.
Nafikiri ndoa ya jinsia moja ni dhambi na nichukizo kwa Mungu kuliko ndoa ya mke zaidi ya mmoja.
Tunawaomba viongozi wa madhehebu mbalimbali waturuhusuni wanaume wa kikristo kuoa mke zaidi ya mmoja kuliko kuruhusu ushoga na usagaji mbele ya madhabahu ya bwana.
Shtuka mwana.

Dini ni utapeli sana kla siku mnaambiwa hamtak kuelewa
 
Wana jamiiforums kama makanisa yanaruhusu na kuunga mkono ndoa za jinsia moja
Mfano wa makanisa hayo ni Angrikana, Roma, kanisa la mitute viongozi wake wametoka hadharani na kutangazia wafuasi wao kuwa makanisa hayo yana ungamkono ndoa za jinsia moja.
Swali langu la msingi ndoa ya jinsia moja na ndoa ya mke zaidi ya mmoja ipi nidhambi iliyotukuka.
Nafikiri ndoa ya jinsia moja ni dhambi na nichukizo kwa Mungu kuliko ndoa ya mke zaidi ya mmoja.
Tunawaomba viongozi wa madhehebu mbalimbali waturuhusuni wanaume wa kikristo kuoa mke zaidi ya mmoja kuliko kuruhusu ushoga na usagaji mbele ya madhabahu ya bwana.
Madako yenu wote ambao bado hamjashtuka ...sijui hawa mashetani ambao mnawaita ma Papa sjui maaSkofu mnawapendea nin maana wamejawa na utapel tu
661e92530ba4191f157f78af02ac5d4d.jpg
 
Wakiruhusu na wanawake watataka Ndoa ya waume wawili.

BIBLIA NI KATIBA INAPASWA IFUATWE NA SIO KUPINDISHWA NA WATU.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Wana jamiiforums kama makanisa yanaruhusu na kuunga mkono ndoa za jinsia moja
Mfano wa makanisa hayo ni Angrikana, Roma, kanisa la mitute viongozi wake wametoka hadharani na kutangazia wafuasi wao kuwa makanisa hayo yana ungamkono ndoa za jinsia moja.
Swali langu la msingi ndoa ya jinsia moja na ndoa ya mke zaidi ya mmoja ipi nidhambi iliyotukuka.
Nafikiri ndoa ya jinsia moja ni dhambi na nichukizo kwa Mungu kuliko ndoa ya mke zaidi ya mmoja.
Tunawaomba viongozi wa madhehebu mbalimbali waturuhusuni wanaume wa kikristo kuoa mke zaidi ya mmoja kuliko kuruhusu ushoga na usagaji mbele ya madhabahu ya bwana.
Ndoa za mitaala kama ni ndoa kati ya mme na mke hazijawahi kuwa dhambi ndani ya biblia.
Kama ndoa zaidi ya mke mmoja ni dhambi basi msingi wa manabii wa Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo(israel) umejengwa juu ya error.
Abraham alikuwa na mke zaidi ya mmoja, Yakobo alikuwa na wake zaidi ya wa watano waliozaa kabila 12 za Israel, Daudi alikuwa na wake 500, Suleiman mwanae alikuwa na wake 1000.
Sasa hao ni manabii walio msingi wa ukristo pia
Hakuna mahalo Mungu aliwahi kuwakemea kwa sababu ya kuoa mke zaidi ya mmoja kama pako naomba nionyeshwe.
Hata Bwana Yesu hakuwahi kukemea mke zaidi ya mmoja zaidi ya kwamba alizungumzia kuhusu talaka kwa mke.
Sharti la mke mmoja lipo kwa mtu anaehudumu kwenye ofisi ya ukuhani( uchungaji) tena awe amemuoa bikira.
Kukiri maslahi binafsi mimi ni mme wa mke mmoja kwa sababu nilikula kiapo cha mke mmoja.
Sasa mimi kuwa mme wa mke mmoja haiondoi ukweli wa biblia kwamba haijawahi funga mlango kwa wale walio owa wake wengi au kukemewa kwa sababu ya hilo.
Kanisa haliko juu ya Kristo ambaye ni neno.
Soma neno ndilo litakalokuweka huru na sii kanisa lako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom