mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 15,987
- 35,655
Unajua wazungu huwa siwaaminiamini,mwanzo walisema sayari ziko tisa sasa wanasema ziko nane na tunakubali.
Tukija kwenye ndoa agano la kale linaongelea ndoa ya wake wengi ila agano jipya linasema mke mmoja ,nasema hiyo ni idea ya mabepari ili masikini ukioa tu imekula kwako lakini wao(mabepari) kwa kuwa wana uwezo wataoa mke mmoja wakimkinai watachepuka kwa mke wa masikini kama akimvutia,ni ngumu sana mwanamme masikini kuchepuka na mke mke wa tajiri kama ikitokea, na ukikamatwa utauliwa,
Hawa wazungu walichakachua hicho kipengele kwa maslahi yao binafsi,kuna amri pia zinadaiwa kuchakachuliwa na wamisionari kama watangulizi wa wakoloni ili kulainisha mioyo ya makoloni(waafrika).
Mimi kama mkristo siamini kama ndoa ya mke mmoja ni agizo la Mungu kwani hakuna mwanamume anayetosheka na mke mmoja na idadi ya wanawake ni wengi kuliko wanaume ,hivyo wadada msioolewa muwalaumu wazungu kwa uongo wao.
Makanisa ya kiroho kumejaa mabinti warembo kwelikweli wanaombewa kila siku wapate wanaume wa kuwaoa kisa uongo wa mzungu.