Wadada mmezidi. Si kwa kulazimisha huku

Mshkaji wangu juzi alikua maeneo flani hivi,akamumba mtoto mzuri hatari akafanya mishe akampatia business card yake. Baada ya kama lisaa kupita yule mrembo kamcheki na kuambia hiyo ndo namba yake. Kesho yake jamaa kaomba mtoko mtoto kaitika. Mshkaji kaenda kumchukua huyo mrembo na alikua na rafiki yake wakaenda kupata misosi na vinywaji. Huyo mrembo hana aibuu,zikaanza baby nyingi hatari,mshkaji akajifanya mzungu anachukulia poa. Wakati story zinaendelea mtoto meembo akasema siku hiyo ni birthday ya rafiki yake,alishindwa kumnunuia cake caz kafulia(mshkaji akaona bill inaenda kwake eti kesho yake amnumulie cake rafiki wa binti mrembo),mshkaji akasema poa. Baada ya misosi mda ukawa umeenda kidogo jamaa akawarudisha watoto wazuri nyumbani,ile wamefika getini mtoto mzuri akamuambia mwenzie atangulie yeye anakuja,mtoto kamuambia mshkaji zumgusha gari huko nyuma ya nyumba(mshkaji akasema leo nimepatikana),basi walivyofika mtoto anaanza kusema oooh mm nna shida chuo nahitaji kama laki mbili hivi(mshkaji akachukulia poa na kumwbia asijali atapata hiyo hela). Jamaa akaomba mtoko kesho yake watoke wakapumzike sehemu,mtoto kakubali. Mshkaji anasema baby baby zimekua nyingi mpaka haelewi.

Hivi kweli mtoto wa kike unaweza ukawa na ujasiri wa namna hiyo?? Hata kama una shida au umempenda mtu sio kihivyo aiseee. Mnatufanya wanaume tuwakimbie mapema. Wazazi wasaidieni watoto wenu otherwise wataliwa mpaka waote sugu
Sasa kwenye kusaka mihela kuna aibu tangu lini. Huyo jamaa yako kaja lini mjini hadi ashindwe kutofautisha kupendwa na kuchunwa?

Sent from my VFD 300 using JamiiForums mobile app
 
Mwanamme anayetoa pesa kwa demu ni mjinga.....Mimi kama demu ni wa kuchapa tu nitamnunulia msosi bila kinyongo na Guest nitalipa, ila suala la sijuwi watoto wangu wana njaa hawajala wiki nzima, mara ninunulie vocha, nilipie kodi ya mwaka mzima kwenye nyumba yangu wakati hatuna uhusiano wowote....hapo sitamuelewa, nitamkimbi abaki na papuchi yake hivyo hivyo ishikwe na kutu. Mademu wa dizaini hii wanaboa sana.
 
Hem sema kitu umesitushwa na mizinga au?

Mimi nazani binti kaitumia nafasi yake vizuri tu.
Mie nimeshtushwa na uboya wa jamaa, inawezekana jamaa amekaa kizobazoba sana ndio maana binti kaamua kuitumia fursa ipasavyo, mabinti wengi wanaakili kubwa sana katika kuwasoma wanaume wapumbavu. Huyo jamaa angekuwa anajielewa asingepachikiwa shida juu ya shida ila binti kamsoma ndani ya muda mchache akamuona jamaa ni fala tuu bora atatue shida akili zimkae sawa.
Hata hivyo wajinga ndio waliwao.
 
Mtoa mada anasema jamaa kastuka ha ha haaa

Huyu hamtaki jamaa kaamua kumkomesha

Kwa mwenye nazo anapewa tu akishampitia wana agana kabisa
 
Huyo jamaa ni mpuuzi...alipoambiwa azungushe gari nyuma angemtafunia huko huko na kuanzia siku hiyo asimuone tena!

Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
 
Tatizo mtoto wa kike ashachukuliwa kama kifaa cha starehe like pocket papuch or something... hizo sugu ziote wapi? kwani zinatumika mbao vs naniliu kwenye kukwich jaman.. alaf we are all humans na mapenz yashakua timing we ukibust bila kupay si unakimbia so ukiambiwa kuhusu malipo ya kabla unaona mwenzio kicheche... siumejipendekeza kwan alikuita?
 
Kumbe mnauza?Bora muwe mnasema ila sio kuchunana tu,tupeni bei ya huduma tutalipia full stop
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom