Wadada mmezidi. Si kwa kulazimisha huku

Wadada mmezidi. Si kwa kulazimisha huku

Hivi kweli mtoto wa kike unaweza ukawa na ujasiri wa namna hiyo?? Hata kama una shida au umempenda mtu sio kihivyo aiseee. Mnatufanya wanaume tuwakimbie mapema. Wazazi wasaidieni watoto wenu otherwise wataliwa mpaka waote sugu

Mkuu siku hizi wanawake ni rahisi kumuita mtu wasiemjua baby kuliko hata kumuita baba yake baba.
Mbona kawaida, unless hukuwepo bongo au ulikuwa mateka wa mai mai hko Congo kitambo.
 
Na siku hizi kuna hii mitandao esp watsap, sasa humo unakuta wengine tuna magroup mbalimbali yaliyoanzishwa Kwa malengo mbalimbali mfano vikundi vya ujasiria mali, vikundi vya ofis mates, au class mates etc. sasa kikawaida mfano ofisini ni watu tunaojuana vizuri sana, kwa hiyo binti anajua fulani ni sawa na mzazi wake au kaka yake (mkubwa sana kiumri), lakini anakuibukia inbox na vi emoji wa vikopakopa, na vi msemo vyao ..."my nimekumiss" badala ya shkamoo kaka/baba! Nyambaaaaf...acheni hizo mabinti, ....
 
Hapo anakua anahitaji mti,ni mwendo wa emoji tu mpaka kieleweke
 
Eti ba
Mshkaji wangu juzi alikua maeneo flani hivi,akamumba mtoto mzuri hatari akafanya mishe akampatia business card yake. Baada ya kama lisaa kupita yule mrembo kamcheki na kuambia hiyo ndo namba yake. Kesho yake jamaa kaomba mtoko mtoto kaitika. Mshkaji kaenda kumchukua huyo mrembo na alikua na rafiki yake wakaenda kupata misosi na vinywaji. Huyo mrembo hana aibuu,zikaanza baby nyingi hatari,mshkaji akajifanya mzungu anachukulia poa. Wakati story zinaendelea mtoto meembo akasema siku hiyo ni birthday ya rafiki yake,alishindwa kumnunuia cake caz kafulia(mshkaji akaona bill inaenda kwake eti kesho yake amnumulie cake rafiki wa binti mrembo),mshkaji akasema poa. Baada ya misosi mda ukawa umeenda kidogo jamaa akawarudisha watoto wazuri nyumbani,ile wamefika getini mtoto mzuri akamuambia mwenzie atangulie yeye anakuja,mtoto kamuambia mshkaji zumgusha gari huko nyuma ya nyumba(mshkaji akasema leo nimepatikana),basi walivyofika mtoto anaanza kusema oooh mm nna shida chuo nahitaji kama laki mbili hivi(mshkaji akachukulia poa na kumwbia asijali atapata hiyo hela). Jamaa akaomba mtoko kesho yake watoke wakapumzike sehemu,mtoto kakubali. Mshkaji anasema baby baby zimekua nyingi mpaka haelewi.

Hivi kweli mtoto wa kike unaweza ukawa na ujasiri wa namna hiyo?? Hata kama una shida au umempenda mtu sio kihivyo aiseee. Mnatufanya wanaume tuwakimbie mapema. Wazazi wasaidieni watoto wenu otherwise wataliwa mpaka waote sugu eti baby,,ujue nikikuita baby utakuja kulisha kuku sang huku bunyokwa,chuo muda wa kuitana baby siningefagia banda LA kuku Wang wanaonipatia kipato cha kuish na sio mambo ya dunia ,
 
Ukion
Na siku hizi kuna hii mitandao esp watsap, sasa humo unakuta wengine tuna magroup mbalimbali yaliyoanzishwa Kwa malengo mbalimbali mfano vikundi vya ujasiria mali, vikundi vya ofis mates, au class mates etc. sasa kikawaida mfano ofisini ni watu tunaojuana vizuri sana, kwa hiyo binti anajua fulani ni sawa na mzazi wake au kaka yake (mkubwa sana kiumri), lakini anakuibukia inbox na vi emoji wa vikopakopa, na vi msemo vyao ..."my nimekumiss" badala ya shkamoo kaka/baba! Nyambaaaaf...acheni hizo mabinti, ....
ukiona wa hivyo jua akili yake imehama, wenyew washaichukua
 
wazaz wasaidieni watoto wenu otherwise wataliwa mpaka waote sugu
 
Ndo hali ya sasa mkuu tutafanyaje zaidi ya ku hit and run
 
Kuna kosa mademu wengi wanafanya nalo ni kutuchukulia wanaume wajinga tukitaka K, na kutuona mabuzi tu hatujiwezi lolote tunaweza fanya kama akitaka demu. Kumbe hujui hata ukimpata mwanaume wabkumchuna kiasi chochote mwisho wa siku hivyo vyote utalipa kwa mwili na utu wako. Wanaume ambao sio player na wapo kwa for real wakiona hivyo wanasepa mazima.
 
Nimebuku nafasi ya kwanza... ntarudi baadaye kutoa maoni yangu.

Ila kabla sijachangia hebu nambie wewe na rafiki yako mnasoma shule gani?
Babu umenichekesha hadi machozi. Babu wewee
 
Hawa madem wa chuo
Stak hata kuwaskia

Miznga yao haijawah
Kumuacha mtu salama nkiwemo mm mmoja wao
 
Kuna kosa mademu wengi wanafanya nalo ni kutuchukulia wanaume wajinga tukitaka K, na kutuona mabuzi tu hatujiwezi lolote tunaweza fanya kama akitaka demu. Kumbe hujui hata ukimpata mwanaume wabkumchuna kiasi chochote mwisho wa siku hivyo vyote utalipa kwa mwili na utu wako. Wanaume ambao sio player na wapo kwa for real wakiona hivyo wanasepa mazima.

Well said
 
Jamaa kafanikiwa au ndo mizinga continues ??
 
Back
Top Bottom