Wadada mmezidi. Si kwa kulazimisha huku

Wadada mmezidi. Si kwa kulazimisha huku

Majighu2015

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
2,941
Reaction score
3,964
Mshkaji wangu juzi alikua maeneo flani hivi,akamumba mtoto mzuri hatari akafanya mishe akampatia business card yake. Baada ya kama lisaa kupita yule mrembo kamcheki na kuambia hiyo ndo namba yake. Kesho yake jamaa kaomba mtoko mtoto kaitika.

Mshkaji kaenda kumchukua huyo mrembo na alikua na rafiki yake wakaenda kupata misosi na vinywaji. Huyo mrembo hana aibuu,zikaanza baby nyingi hatari,mshkaji akajifanya mzungu anachukulia poa. Wakati story zinaendelea mtoto meembo akasema siku hiyo ni birthday ya rafiki yake, alishindwa kumnunuia cake caz kafulia (mshkaji akaona bill inaenda kwake eti kesho yake amnumulie cake rafiki wa binti mrembo), mshkaji akasema poa.

Baada ya misosi mda ukawa umeenda kidogo jamaa akawarudisha watoto wazuri nyumbani,ile wamefika getini mtoto mzuri akamuambia mwenzie atangulie yeye anakuja,mtoto kamuambia mshkaji zumgusha gari huko nyuma ya nyumba(mshkaji akasema leo nimepatikana)

basi walivyofika mtoto anaanza kusema oooh mm nna shida chuo nahitaji kama laki mbili hivi(mshkaji akachukulia poa na kumwbia asijali atapata hiyo hela). Jamaa akaomba mtoko kesho yake watoke wakapumzike sehemu,mtoto kakubali. Mshkaji anasema baby baby zimekua nyingi mpaka haelewi.

Hivi kweli mtoto wa kike unaweza ukawa na ujasiri wa namna hiyo? Hata kama una shida au umempenda mtu sio kihivyo aiseee. Mnatufanya wanaume tuwakimbie mapema. Wazazi wasaidieni watoto wenu otherwise wataliwa mpaka waote sugu
 
Unajua kabla hujapika nyama ya kuku/beef, unaimarinate kwanza ndo baadae unaichoma, kaanga or whatever it is you wanna do.

So huyo mshikaji kuitwa "baby baby" all the time, ndo achukulie kama anakuwa marinated kabla ya kuombwa pesa au kitu kikubwa zaidi.
 
🙂🙂🙂 tujuze basi kama Max hana pingamizi ili kama hauko mitaa ya jirani tuwahi nafasi ya mbele kwa niaba yako.

Itabidi niongee na Max hiyo option iwepo kwangu tu. Vita ya kuwa wa kwanza kureply haijawahi kuacha mtu salama...
 
🙂🙂🙂 tujuze basi kama Max hana pingamizi ili kama hauko mitaa ya jirani tuwahi nafasi ya mbele kwa niaba yako.
Ila ukishaiwahi nikija unanipisha... maana huchelewi kuibinafsisha wewe...
 
Back
Top Bottom