Wadada mmezidi. Si kwa kulazimisha huku

Wadada mmezidi. Si kwa kulazimisha huku

Nimebuku nafasi ya kwanza... ntarudi baadaye kutoa maoni yangu.

Ila kabla sijachangia hebu nambie wewe na rafiki yako mnasoma shule gani?
Hahahahaha! Nimekupenda bure mie
 
Hivyo eh! Mie sikujua kama ni dili kubwa kiasi hiki Mkuu.
Huyu member(Joseverest) kawa maarufu wa kureply wa kwanza kila uzi ukianzishwa asilimia kubwa sana
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Fanya mpango na mimi nipate no ya huyo demu
 
Nimebuku nafasi ya kwanza... ntarudi baadaye kutoa maoni yangu.

Ila kabla sijachangia hebu nambie wewe na rafiki yako mnasoma shule gani?
Swahiba hivi program ya chama ya kutoa mafunzo kwa vijana umesha anza??
Unaona shida hizi...
 
Unajua kabla hujapika nyama ya kuku/beef, unaimarinate kwanza ndo baadae unaichoma, kaanga or whatever it is you wanna do.

So huyo mshikaji kuitwa "baby baby" all the time, ndo achukulie kama anakuwa marinated kabla ya kuombwa pesa au kitu kikubwa zaidi.
Hawa watoto wajanja sana siku hizi..Ukiwa hujielewi unachunwa tu
 
Hahaaaa "baby naomba hera ya kula". Kabla yangu ulikuwa unakulaje!!? Hawa wenzetu ni shida.
 
Sijui sijasoma vizuri...mimi naona anayelazimisha ni huyo mwanamme anayemtoa mwanamke out kila siku...sasa kama hataki kuombwa hela si amwache kumtoa out?
 
Sijui sijasoma vizuri...mimi naona anayelazimisha ni huyo mwanamme anayemtoa mwanamke out kila siku...sasa kama hataki kuombwa hela si amwache kumtoa out?
Amemtoa outing moja tu..Hiyo hiyo outing ya kwanza ndo ameanza kuona hivyo vioja.
 
Back
Top Bottom