Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,941
- 3,964
- Thread starter
- #41
Wamemchuna msosi tu..Hapo anavizia apate K asepeAcha achunwe tu akaribishwe mjini
Wamemchuna msosi tu..Hapo anavizia apate K asepeAcha achunwe tu akaribishwe mjini
Mkuu kama ni kudanga basi kweli wapo kazini. Hawataki mchezomchezo kabisaNdio mademu wa mjini hao mkuu...wanachuna kinyama (wenyewe siku hizi wanaita kudanga)
Zitakuwa zimeenda wapi kwani mkuu.?Kesho ajiandae na "baby sizioni siku zangu"
Hapana asisuse k. Apige kisha asepeMzee jamaa anasema usumbufu anaoupata hata hiyo K hana hamu nayo tena
Hahahah si anajifanya mzungu!!!Acha achunwe tu akaribishwe mjini
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Tatizo chama kiko bize na mimba za wanafunzi wa kike tu.
llMshkaji wangu juzi alikua maeneo flani hivi,akamumba mtoto mzuri hatari akafanya mishe akampatia business card yake. Baada ya kama lisaa kupita yule mrembo kamcheki na kuambia hiyo ndo namba yake. Kesho yake jamaa kaomba mtoko mtoto kaitika. Mshkaji kaenda kumchukua huyo mrembo na alikua na rafiki yake wakaenda kupata misosi na vinywaji. Huyo mrembo hana aibuu,zikaanza baby nyingi hatari,mshkaji akajifanya mzungu anachukulia poa. Wakati story zinaendelea mtoto meembo akasema siku hiyo ni birthday ya rafiki yake,alishindwa kumnunuia cake caz kafulia(mshkaji akaona bill inaenda kwake eti kesho yake amnumulie cake rafiki wa binti mrembo),mshkaji akasema poa. Baada ya misosi mda ukawa umeenda kidogo jamaa akawarudisha watoto wazuri nyumbani,ile wamefika getini mtoto mzuri akamuambia mwenzie atangulie yeye anakuja,mtoto kamuambia mshkaji zumgusha gari huko nyuma ya nyumba(mshkaji akasema leo nimepatikana),basi walivyofika mtoto anaanza kusema oooh mm nna shida chuo nahitaji kama laki mbili hivi(mshkaji akachukulia poa na kumwbia asijali atapata hiyo hela). Jamaa akaomba mtoko kesho yake watoke wakapumzike sehemu,mtoto kakubali. Mshkaji anasema baby baby zimekua nyingi mpaka haelewi.
Hivi kweli mtoto wa kike unaweza ukawa na ujasiri wa namna hiyo?? Hata kama una shida au umempenda mtu sio kihivyo aiseee. Mnatufanya wanaume tuwakimbie mapema. Wazazi wasaidieni watoto wenu otherwise wataliwa mpaka waote sugu
[emoji23] [emoji23] [emoji108] [emoji108]Hahaaaa "baby naomba hera ya kula". Kabla yangu ulikuwa unakulaje!!? Hawa wenzetu ni shida.
Kabisa mkuu tena wanaona sifa sijui??Mkuu kama ni kudanga basi kweli wapo kazini. Hawataki mchezomchezo kabisa
Ebanae... ahsante kwa tahadhari...Humu kuna wanga unaweza shangaa unataka kuwa wa kwanza kureply vidole havikunjuki
Akipiga usumbufu utaongezeka..Hapana asisuse k. Apige kisha asepe
Hahaaaaaa sio mm mkuuu..Majanga yangenikuta ningejianika tuWee mleta maada ndo mhanga mwenyewe.umesimulia vema sana. Sisadiki kama ulisimuliwa ila yamekukuta mwenyewe.... Omba ushauri tukusaidie
Mkuu hii ni hatari sasa..Wanahisi shida wanazo wao tuSiku hizi imeshakuwa tabia kabisa. Mwingine mnakutana Fb lkn baada ya siku mbili utasikia baby nikwambie kitu! Hapo ujue ni mshale anataka kukupiga. Mi najiuliza hivi wazazi hawawapi matumizi maana imeishakuwa too much hata aibu hawana