Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,693
- 23,270
Weupe usikuchanganye....bibi mzaa mama alikuwa mzungu 🤣🤣🤣Wewe ni muarabu sweetheart...
Weupe usikuchanganye....bibi mzaa mama alikuwa mzungu 🤣🤣🤣Wewe ni muarabu sweetheart...
Na hayo macho yalivyokuelgea hivyo je, ni ya bibi mzaa nani?Weupe usikuchanganye....bibi mzaa mama alikuwa mzungu 🤣🤣🤣
kazi unayo wa pain killer kwenye mkobakwahiyo ni macho tena sio foat tummy waka trako😀😀😀
Kungumanga tu hizo mpenzi wangu weee 😅Na hayo macho yalivyokuelgea hivyo je, ni ya baba mzaa nani?
Na hiyo sauti ilivyo nzuri... Kiswahili unakivuta mpaka raha na utamu...Kungumanga tu hizo mpenzi wangu weee 😅
Huyapaka na wanja nizidi kukutia wazimu 😝
We nisifu sana tu....subiri waniibeNa hiyo sauti ilivyo nzuri... Kiswahili unakivuta mpaka raha na utamu...
Utakubali niibiwe?We nisifu sana tu....subiri waniibe
Mwizi haibiwi 🤣😝😝😝Utakubali niibiwe?