Wadada: Kwanini hamtaki kuolewa?

Wadada: Kwanini hamtaki kuolewa?

waoaji wapo tatizo nyie wanawake mnachagua sana. Mkae mkijua ukichagua sana nazi utaishia kupata koroma
wanaume na nyie siku hizi mmesahau wajibu wenu kwa wanawake,siku hizi nyie ndiyo mwataka kulelewa,ndiyo maana tunawaogopa mmezidi kwa mizinga,kuliko ukae li mwanaume ambalo limebweteka lina subiri mwanamke akahustle si bora kuishi maisha ya peke yako kuliko kukutana na hizo stress,ada za watoto mama,bili zote analipa mama,matumiz mama,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,sasa wewe una faida gani?kila mmoja apambane na hali yake lol!!
 
Unadhani kuingia kwenda ndoa ni kama unaingia bafuni kuoga
 
Habari zenu wadau wa JF.?

Hili swala sasa linaenda kuwa janga la taifa kama mengine, unakuta Mdada mkubwa kabisa amekaa tu badala aolewe amebweteka tu.

Ugali wa nyumbani unawaponza, amka olewa tafuta ugali wako na mumeo miaka 35 bado umekaa tu khaaa.!!

Acheni ujinga oleweni.!
Tuolewe na nani?na nyie wanaume suruali? pambaneni na hali zenu!!au nawe unatafuta wa kukulea?maana nyie ndiyo zenu siku hizi mfyuu!!
 
Ni kweli mpz, ila amini nakwambia ipo siku utampata atakayejua thamani ya penzi lako,
Yaan kuna baadhi ya wanaume na wanawake ambao ni vichomi kweli kwenye mahusiano sijui huwa wanamapepo ya namna gani. Pole sana mydear kuna watu wengi wanateseka sana kwa mahusiano. Ila i hope Mungu ataweka mkono mamii na utakuwa normal kama watu wengine.
We Mdada una akili
 
Yani wanaume hatuishi kutembea na wake za watu lakini wasio na waume tunajitia vipofu
 
Rafik angu ukianzaga kuanzisha uzi ni mfululizo tu
Back to topic hakuna waoaji kama ww apo nakusubir na andunje nani ataanza kutoa posa
 
Rafik angu ukianzaga kuanzisha uzi ni mfululizo tu
Back to topic hakuna waoaji kama ww apo nakusubir na andunje nani ataanza kutoa posa
Hahahahaaaa nilituliaga nilivyo rudi kuna mkuu akauliza "ndio umerudi mkuu" hahahahaaaa.

Back to topic, ivuga ananionea tamaa sana mm kuwa na ww.
 
Kwani wakiolewa oksijen inabadilika?

Au wasipoolewa jua halitoki au wanavimba miili?

Vijana wenyewe wa siju hizi nyie mmewapanga foleni kawe kivukoni kisa wenzio watafute stress???
Habari zenu wadau wa JF,

Hili swala sasa linaenda kuwa janga la taifa kama mengine, unakuta mdada mkubwa kabisa amekaa tu badala aolewe amebweteka tu.

Ugali wa nyumbani unawaponza, amka olewa tafuta ugali wako na mumeo miaka 35 bado umekaa tu khaaa!

Acheni ujinga oleweni!
 
Back
Top Bottom