Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,806
- 95,696
Utapata wa kufanana nae
Utapata wa kufanana nae
Mnakataa kuolewa, mnataka mwanaume awe na harrier 4 ndo mnakubalTatizo wanaolalamika kuwa hatuolewi ni nyie wanaume. Waoaji ni nyie sasa kama wadada hawaolewi basi waoaji hakuna
Hapana. Ukiona hivyo si level zako shuka chini kidogo. Ambae unaona anapenda makuu kuliko uwezo wako basi huyo si wako. Tafuta mwingine atakae kukubali jinsi ulivyo
Habari zenu wadau wa JF,
Hili swala sasa linaenda kuwa janga la taifa kama mengine, unakuta mdada mkubwa kabisa amekaa tu badala aolewe amebweteka tu.
Ugali wa nyumbani unawaponza, amka olewa tafuta ugali wako na mumeo miaka 35 bado umekaa tu khaaa!
Acheni ujinga oleweni!
Kwahali ilvo acha wasiolewe tuu mana anaweza olewa na mwisho wake apata stress za kufa mtu
Acha wakae home tuu [emoji45][emoji45]
Endelea kuchaguaWanaume hamna
[emoji23] [emoji23] [emoji23] aicee una manenoo!!!Unadhani kuingia kwenda ndoa ni kama unaingia bafuni kuoga
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] weumeoaSio hawataki kuolewa bali
Nani wakuwaoa wanawake wa kileo wenyewe wana sifa kama:
1:hawana vifua vya kuficha siri za ndani kwao
Jiulize mwanamke ana kifua ungesikia habar za kibamia nje kama leo?
2:kutwa anasungua miguu na kuwatembelea mashoga zake kaz za ndani zote anamwachia housegal
3:Yakhe mtu mzima anavaa nusu uchi nani amuweke ndani?
4:Yakhe anataka kulazimisha kuishi maisha kama shoga ake anavoishi
5:Ati mdada mlevi full nightclub yakhe nani wa kuoa mlevi?
6😱yoo mie ukinioa staki ndugu zako waje,yakhe ndugu zangu wamenkuza leo wasije kwangu?
7:20-30 habib ati hataki kuolewa anadai anakula ujana,yakhe 35+ ndo anatafta mume kwel utakubal kula muwa uliokamliwa maji yake?
NB: enyi vijana mwenye uwezo wa kuoa oeni kwan mtajaulizwa ujana wenu mliutumiaje [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu sikufichi mie bado
Mmmmh wewe uoe[emoji26] [emoji26] [emoji26]Mkuu sikufichi mie bado
Ila ntaoa
Sasa wake wanataka ati walau
Waoe kma 7 iv uone kama watakataa ili uwe shamba darasaHabari zenu wadau wa JF,
Hili swala sasa linaenda kuwa janga la taifa kama mengine, unakuta mdada mkubwa kabisa amekaa tu badala aolewe amebweteka tu.
Ugali wa nyumbani unawaponza, amka olewa tafuta ugali wako na mumeo miaka 35 bado umekaa tu khaaa!
Acheni ujinga oleweni!
SawaEndelea kuchagua
Nipo hapaMbona wanaume wa kikurya tupo murraa au wew unajifungia wapi!!?
Radhi