Wadada: Kwanini hamtaki kuolewa?

Wadada: Kwanini hamtaki kuolewa?

Kila mwanamke anapenda kuolewa ndoa ni heshima pia inakufanya kuwa Na familia kuwa namji wako tatizo wanawake wengi tushaumizwa sanaaaa kiasi moyo imepata ganzi dunia hii hakuna mwanaume asie chepuka dunia yasasa wanaume wenyewe usipoangalia unaolewa Na shoga maana wanaume wetu utandawazi umewaharibu wengi wamekuwa hanisi,mashoga kiukweli Mungu anusuru taifa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waoaji tupo ni vile tu our paths do not cross yet
 
Kila mwanamke anapenda kuolewa ndoa ni heshima pia inakufanya kuwa Na familia kuwa namji wako tatizo wanawake wengi tushaumizwa sanaaaa kiasi moyo imepata ganzi dunia hii hakuna mwanaume asie chepuka dunia yasasa wanaume wenyewe usipoangalia unaolewa Na shoga maana wanaume wetu utandawazi umewaharibu wengi wamekuwa hanisi,mashoga kiukweli Mungu anusuru taifa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli umeumizwa Sana Dada, una mtoto wa kiume kweli...?
 
Labda wangeruhusiwa kuolewa na wanaume wanne hapo sawa! wakiwa nje ya ndoa wanamiliki wanaume zaidi ya 6 bila wasiwasi wewe
 
Kama ni ugali tu hata bila kuolewa tunautafuta na tunaupata mbona

RubiiKimimi[emoji85]
 
Hivi kuolewa lazima? Na bora hata huyo muoaji awe anaeleweka wanaume wenyewe wameweuka asilimia kubwa wana tabia ya kivulana ... Unaishi na mwili mkuuuubwa akili ya ben ten yaani nilee mtu mzima si bora nifanye maisha yangu kwanza .... Wengine ndoa ni option tu msitutanie ... Ndoa imekua ndoa pyeee
Kama hujaolewa huna uzoefu ndoa ni ya wawili,usisadiki kila neno la mtaani mengine yanatoka kwenye mifano mibaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom