Wadada: Kwanini hamtaki kuolewa?

Wadada: Kwanini hamtaki kuolewa?

Hivi kuolewa lazima? Na bora hata huyo muoaji awe anaeleweka wanaume wenyewe wameweuka asilimia kubwa wana tabia ya kivulana ... Unaishi na mwili mkuuuubwa akili ya ben ten yaani nilee mtu mzima si bora nifanye maisha yangu kwanza .... Wengine ndoa ni option tu msitutanie ... Ndoa imekua ndoa pyeee
 
Mtoa mada alikua anazungumzia kwa ujumla kwamba wadada wengi awaolewi kwa utafuti wake lakin kunakitu tunasema maamuz ya moyo huwenda wadada hawa bado hawajaweka maamuz ya kuolewa lakin kwa upande wenu na mlivyo kuna mambo ukiyangoja yanweza kukuchukulia muda mrefu usiolewe mfano moyo unataka uolewe na mtu mweupe,mrefu, jiulize je mtu wa namna hiyo yupo kwa ajir yako kumpata shida so ukingoja utakaa mpaka ghara la nyumban litaisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo hivyo. Usilazimishe au kumpa pressure mwanamke aolewe, mwache mpk siku atakayoona yupo tayari, hivyo vigezo vya mtu amtakae ndo kitu anachopenda na hakuna tatizo maana kila mtu ana vigezo vyake.
Huku kulazimishana ndo unakuta mtu kaingia kwa pressure, mwisho wa siku akifanya ndivyo sivyo mnalaumu pia lkn kumbe hakuwa na huo utayari bali pressure za watu
 
Hivi kuolewa lazima? Na bora hata huyo muoaji awe anaeleweka wanaume wenyewe wameweuka asilimia kubwa wana tabia ya kivulana ... Unaishi na mwili mkuuuubwa akili ya ben ten yaani nilee mtu mzima si bora nifanye maisha yangu kwanza .... Wengine ndoa ni option tu msitutanie ... Ndoa imekua ndoa pyeee
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom