Wadada: Kwanini hamtaki kuolewa?

Wadada: Kwanini hamtaki kuolewa?

Sikuwahi kumkosea nandomana anatafuta suluhisho tuyaweke sawa ila nihivi nilichogundua mwanaume akijua unampenda atakutesa sana,mwanaume sio wakumwamini,wala sio mtu wakumueka moyoni kama unaamua kuwa Na mwanaume kuwa nae kumaliza shida za mwili sepa

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana best
Ila dini zinakataza tusifanye matusi, tunatakiwa kufanya tendo la ndoa. Mshirikishe Mungu atakupa hitaji la moyo wako.
 
Nikwambie dear unaongea ukweli namimi napenda mtu anaenishauri unajua mwanamke tabia unabadilishwa Na mwanaume unakuta umeteseka wewe mpaka unasema yes ndio mzee hakika bola niishi mwenyewe sio mwanaume sitarajii kupenda tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikuwahi kumkosea nandomana anatafuta suluhisho tuyaweke sawa ila nihivi nilichogundua mwanaume akijua unampenda atakutesa sana,mwanaume sio wakumwamini,wala sio mtu wakumueka moyoni kama unaamua kuwa Na mwanaume kuwa nae kumaliza shida za mwili sepa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo kwel kuna jamaa nilimshudia akimtesa sana demu wake kisa kapedwa, nilimuonea huruma sana yule dada. Ila si wote wako hivyo wengine tunawaeshimu sana.
 
Yaani kuibadilisha akili yangu inaitaji maombi kiukweli yaani mwanaume tucheke tuongee ila ukiingiza mapenz urafiki unakufa hapohapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikwambie dear unaongea ukweli namimi napenda mtu anaenishauri unajua mwanamke tabia unabadilishwa Na mwanaume unakuta umeteseka wewe mpaka unasema yes ndio mzee hakika bola niishi mwenyewe sio mwanaume sitarajii kupenda tena

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mpz, ila amini nakwambia ipo siku utampata atakayejua thamani ya penzi lako,
Yaan kuna baadhi ya wanaume na wanawake ambao ni vichomi kweli kwenye mahusiano sijui huwa wanamapepo ya namna gani. Pole sana mydear kuna watu wengi wanateseka sana kwa mahusiano. Ila i hope Mungu ataweka mkono mamii na utakuwa normal kama watu wengine.
 
Sikuwahi kumkosea nandomana anatafuta suluhisho tuyaweke sawa ila nihivi nilichogundua mwanaume akijua unampenda atakutesa sana,mwanaume sio wakumwamini,wala sio mtu wakumueka moyoni kama unaamua kuwa Na mwanaume kuwa nae kumaliza shida za mwili sepa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka Sasa ushamaliza shida za mwili na kusepa kwa wangapi dada...?

Sishabiki hili swala la kuolewa hapa tupo wengi tuu ambao tumetoka kwenye familia za single mother tena wangu ni jembe haswa ila sikubaliani na mtazamo wako tuu kuhusu ili swala na kujumuisha wanaume wote kwenye ili swala.

Unapokosea kufanya selection sahihi ya mtuu wa kumpa papuchi usilalamike sana akikutenda move on endelea na harakati nyengine usilamike hovyo mpaka unahitimisha wanaume makhanisi unakosea Sana Dada.
 
Nisikilize umeninukuu vibaya nimesema kwa wanaume ambao nimashoga wengi mahanisi unajua kuna mahanisi waliozaliwa nao huyu ataakiniambia anioe nakubali kiukweli ila kunahanisi wakuingiliwa nyuma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli mpz, ila amini nakwambia ipo siku utampata atakayejua thamani ya penzi lako,
Yaan kuna baadhi ya wanaume na wanawake ambao ni vichomi kweli kwenye mahusiano sijui huwa wanamapepo ya namna gani. Pole sana mydear kuna watu wengi wanateseka sana kwa mahusiano. Ila i hope Mungu ataweka mkono mamii na utakuwa normal kama watu wengine.
Mmmmmmh sijui kama yupo Na sijui kama nitapenda tena ila namuachia Mungu Kazi yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom