Wadada: Kwanini hamtaki kuolewa?

Wadada: Kwanini hamtaki kuolewa?

em waonyeshe duka waliwatundika hao wanaume waowaji akanunue wamuoe... hv siku hizi kuna waowaji au watafuta fursa? btw hao wadada wa miaka 35 ndo wanaolewa maana ndo washajiweza kimaisha... wazee wa fursa ndo wanawapenda siku hizi
Ngoja wakufuate pm wapate fursa hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndoa ni pale unapokuwa tayari umempata umpendae na tayari umefanya maamuzi ya kuoa au kuolewa. Mbona sasa mnakuwa kama mnawalazimisha wanawake waolewe?
Mwanaume ndio mtangaza ndoa, how come lawama zinaenda kwa mwanamke wkt labda hakuna aliyetangaza ndoa kwake?
Kila nikukupm nitangaze ndoa hunijibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wanawake wanapenda sana kuolewa.... yaani sema tu unakuta hajapata mtu wakumuoa... maana mwanamke akishazidi 27 hua nin tatxo sana, asipokua makini atakua anatafunwa tu na kina Le Mutuz na kumwacha, angalia kina Wema Sepetu, zamani walikua wanakimbiza sana, but kwa sasa hata afenye nini sio habari tena, mwenzake Aunt Ezekiel alisoma alama za nyakati, yupo zake na Mose na wana familia sasa, katika maisha hakuna mtu wakuja kukuambia sasa umekua fanya hiki acha hiki ni just kuamua wewe mwenyewe tu.....
 
mkishatuoa mnatufanya nini?
Baaada ya furaha ya sherehe ya ndoa kinacho baki sasa nimaelewano ya wanandoa me and ke hivyo Yale yote yanayo tokea humo ni kutokuelewana juuu yao ambayo ata jiran mengine hawez jua mambo mengine ni usaliti kati ya wanandoa hao hapo kila mmoja anatakiwa kujifikilia nani kamsalit mwenzie na afanye nn ili mambo yaende sawa hapa ndipo haswa panapo leta shida hasa kujishusha kwa mwenzio kwa kweli tubadilike hakuna anae oa au kuolewa kwa ajir ya kumkomoa mwenziee ila makosa tunayo fanya ndio chanzo cha kuvurugana wanandoa asant

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom