Wadada jf mashallah, au sio picha zenu ni avator tu

kuna kimoja kilikuwa kinatafuta mchumba humu, nikaona ndo hapa hapa pakupatia. mtoto si kajitangaza mwenyewe bana! kuja kukutana nae hata bibi yangu mzuri asee. alafu anasema ana miaka 23 wakati kasura kamekomaa kama anakula cement. wanawake wa humu wengi wamekuwa rejected huko mitaani. huwezi kuwaangalia mara 2 ndo maana wanakuja kujiliwaza huku

Kwa kifupi mvuto zero
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1449869160823.JPG
    uploadfromtaptalk1449869160823.JPG
    21.8 KB · Views: 522
Last edited by a moderator:
Tu avatar twao tuzuri mno ila sasa ukiwaona live baadhi yao unataman kukimbia kama nanii

haswaaa kama ulikuwepo mkuu. ukiona wanajipa faraja humu ndani ila ukija kukutana nao vinatia huruma masikini ya mungu. tuwaache wajiliwaze tu humu ndani maana ndo sehem pekee wanaitwa warembo!!

Hahahaha, nimecheka sana
Jamaniii kaka zangu kwani mnahasira na nanii...inaonekana kuna jambo limewakwaza haiwezekani mguswe namna hiii...
 
hakuna kitu kilichonikwaza dada yangu, mi naongea kitu cha kweli kabisa. sema tu tumeumbwa tofauti ila kama tungekuwa na roho kama zenu mngehama humu ndani mbona kitambo. maana wengi wenu vituko sema tu tunapotezea hata kama tumekuta mambo tofauti. ila mungu ana kusudio lake kuwaumba hivyo sura mbaya maana wote mkiwa wazuri nani atakuwa mchawi??!! inabidi mshukuru mungu tu
 
Kuna mmoja ana avatar ya kuvutia nilipomuona live sura yake kama ya mtu anayejiandaa kupiga chafya.
 
hakuna kitu kilichonikwaza dada yangu, mi naongea kitu cha kweli kabisa. sema tu tumeumbwa tofauti ila kama tungekuwa na roho kama zenu mngehama humu ndani mbona kitambo. maana wengi wenu vituko sema tu tunapotezea hata kama tumekuta mambo tofauti. ila mungu ana kusudio lake kuwaumba hivyo sura mbaya maana wote mkiwa wazuri nani atakuwa mchawi??!! inabidi mshukuru mungu tu

We kaka umetendwa si bure haiwezekani uponde wadada hivo....ukute umenyimwa naniliu na mdada wa JF, basi full kuponda?!??:banghead:
 
kuna kimoja kilikuwa kinatafuta mchumba humu, nikaona ndo hapa hapa pakupatia. mtoto si kajitangaza mwenyewe bana! kuja kukutana nae hata bibi yangu mzuri asee. alafu anasema ana miaka 23 wakati kasura kamekomaa kama anakula cement. wanawake wa humu wengi wamekuwa rejected huko mitaani. huwezi kuwaangalia mara 2 ndo maana wanakuja kujiliwaza huku

************************
duuuuuh mkuu unaua bendi zote
 
We kaka umetendwa si bure haiwezekani uponde wadada hivo....ukute umenyimwa naniliu na mdada wa JF, basi full kuponda?!??:banghead:

witness jamaa yupo sahihi...
halafu hakuna mdada maskin humu kwa thread zao....kila mtu tajiri..
duuuh kutana nao.
anyway sisemi watu wasie matajiri bt tupunguze kupretend humu.
 
Ha ha ha... Mwanamke lazima uwe na madoido buana, hayo mambo ya kujishusha hakunaga hapa!...ila huyo mkaka kaumizwa na mdada wa JF niamini, we huoni anaongea kwa uchungu?!?
 
Back
Top Bottom