Wadada jf mashallah, au sio picha zenu ni avator tu

Wadada jf mashallah, au sio picha zenu ni avator tu

Nani kasema hayo,

Yawezekana asiwe mzuri mbele ya macho yako lakin akawa mzuri kwa mwenzako,

Labda nikuulize,

KWANI WEWE NI MZURI???
Umebadilika tena, si umesema wanapatikana kwenye mitandao mingine

Naona umeuliza kabisa kwa herufi kubwa kuonyesha msisitizo

Kujibu swali lako, sitaki nitumie neno "mzuri" ila neno linalotumika kwa wanaume linafaa zaidi
 
Brenda jamani kekuu, mbona unanitia hsmu yakutaka kukuona live, maana unatetea sana, hebu plz ni pm tuanze kujuana

Kaka angu usipate shida,hio avata yangu ndio humo humo nimo kuanzia rangi mpaka mengine
Yani tujuane sababu ya avata tu?.....wewe ndio unacheza basket hivyo kweli au?
 
Hahahaha sura yake na Avi ni mbingu na ardhi
 
Umebadilika tena, si umesema wanapatikana kwenye mitandao mingine

Naona umeuliza kabisa kwa herufi kubwa kuonyesha msisitizo

Kujibu swali lako, sitaki nitumie neno "mzuri" ila neno linalotumika kwa wanaume linafaa zaidi

Eenh, huo 'uzuri' wako umekusaidia nini katika maisha yako mpaka hapo ulipofikia.
 
Sijawahi waona wote ila mmoja tu ndio anaendana na Avatar yake
 
Eenh, huo 'uzuri' wako umekusaidia nini katika maisha yako mpaka hapo ulipofikia.

Mwanaume kujisifia uzuri ni tatizo.....
Mwanaume ni zaidi ya hio sura anayotutambia hapa
Ngoja tumkubalie ye ni mzuri kuliko wadada wa jf......
 
Na wewe wacha kutamani avata zetu,avata zetu za wadada wazuri zakuwashia nini kaka angu?
Wote niliokutana nao,Hahahaa tena mmoja kilikuwa kikubwa ka chungu 😂😂😂😂😂😂😂😂

Kwahiyo wanaoweka picha za wadada wabichi wazuri ilhali wao ni wabibi au post menopause huoni kama wanatamanisha watu halafu kwenye kukutana inakuwa balaa nusura mkosi
 
Mwanaume kujisifia uzuri ni tatizo.....
Mwanaume ni zaidi ya hio sura anayotutambia hapa
Ngoja tumkubalie ye ni mzuri kuliko wadada wa jf......

Hamna mtu aliejisifia 'uzuri', naona everhurt kalibeba hilo bango anazunguka nalo

Tunajua kuwa uzuri wa mwanamke sio urembo au sura ni tabia, ila reception nzuri ni MUHIMU kabla hatujaingia ndani ya 'ofisi' yako

Btw uzuri ni subjective, beauty is in the eyes of the beholder, ila kuna vitu ambavyo kila mwanaume akimuona mwanamke fulani atakubali kwamba viko poa
 
Last edited by a moderator:
Kwahiyo wanaoweka picha za wadada wabichi wazuri ilhali wao ni wabibi au post menopause huoni kama wanatamanisha watu halafu kwenye kukutana inakuwa balaa nusura mkosi

Basi kwa kuwa wote tunaweka avata ambazo ni tofauti na uhalisia wetu,tunatamanishana na tukikutana ni majanga,ngoma droo msituseme sisi wadada tu hata nyiee tunawavumilia
Kila mtu ameumbwa kwa mfano wa Mungu na ni mzuri kwa macho ya muonaji....
Mimi binafsi naona ni utoto kubishania outlook sababu unaweza ukajiona umekamilika ila nikikuona nikakutia kasoro kibao...
Kuweka avata ni maamuzi ya mtu kwa sababu zake mwenyewe haimaanishi ndivyo alivyo wala hana maana ya kumtamanisha mtu
Na mtu unaevutiwa na avata pia hujielewi,vutiwa na contents za mtu kwanza.....
 
We kaka umetendwa si bure haiwezekani uponde wadada hivo....ukute umenyimwa naniliu na mdada wa JF, basi full kuponda?!??:banghead:

wweee wadada wa humu wana jeuri ya kunyima walichopewa na mungu!! ni moja ya ajabu la dunia kuwahi kutokea!!
 
Back
Top Bottom