mito
JF-Expert Member
- Jun 20, 2011
- 10,811
- 11,031
Teh hiyo sababu ya kunibananisha tukutane ni ipi jamani mwee?
Hahaaaa unataka niiseme hapa hadharani, loh
We tulia ntakwambia muda muafaka
Teh hiyo sababu ya kunibananisha tukutane ni ipi jamani mwee?
Ayaaaah uvumilivu ushanishinda, basi ninong'oneze hata kule chemba teh. Yani usiposema ntaugua kwa kihoro mmbea mimiHahaaaa unataka niiseme hapa hadharani, loh
We tulia ntakwambia muda muafaka
Ayaaaah uvumilivu ushanishinda, basi ninong'oneze hata kule chemba teh. Yani usiposema ntaugua kwa kihoro mmbea mimi
Daah leo umeniweza, ngoja tu nisubiri ntafanyaje sasa. Ila umbea umenikaba kweli hapa[emoji23] [emoji23]Hahaaaaa nikikwambia leo utachomoa bana, ngoja kwanza usahau sahau, ahaaaa!!
Daah leo umeniweza, ngoja tu nisubiri ntafanyaje sasa. Ila umbea umenikaba kweli hapa[emoji23] [emoji23]
Sio dongo hata
avatar tu hizo ukiona tulivyo utakimbia
Oyooo,mbona hujikubali we binti, kwahiyo we simtamu
mhmhhhhata chembe! kwani utamu unaujuaje??