Wadada jf mashallah, au sio picha zenu ni avator tu

haswaaa kama ulikuwepo mkuu. ukiona wanajipa faraja humu ndani ila ukija kukutana nao vinatia huruma masikini ya mungu. tuwaache wajiliwaze tu humu ndani maana ndo sehem pekee wanaitwa warembo!!
Na wanavyofurahia wakiitwa warembo utadhani ni warembo kumbe hamna lolote. Humu jf hamna wazuri, ni mediocre tupu
 
Wengi wenu ni wale mliokwishachuja , tunawakwepa mtaani mnakimbilia kutuzuga na avatar humu jf na majina yanayoashiria kuwa mna mvuto. Ila mlisha-expire kitambo
Kwa hiyo avatar yako unatuambia wewe hilo gari la kwako?
 
Wengi wenu ni wale mliokwishachuja , tunawakwepa mtaani mnakimbilia kutuzuga na avatar humu jf na majina yanayoashiria kuwa mna mvuto. Ila mlisha-expire kitambo

Wacha weee!
Sonko Jr. katika ubora wako
 
Last edited by a moderator:
Na wanavyofurahia wakiitwa warembo utadhani ni warembo kumbe hamna lolote. Humu jf hamna wazuri, ni mediocre tupu

Hamna lolote mmenyimwa naniliu ndo maana mnapondaa hatariii...wadada wa JF wakali kinoma i know them much...
 
Kweli 'mrembo' witnessj? Hebu mtaje mmoja. Wengine hawaweki avatar ili pengine kucheza na akili zetu kuwa labda wao wana mvuto ndo maana hawaweki avatar, hiyo yote ni zuga
 
Ndo manake, ni matokeo ya bonge la dili nililopiga, dili la mwaka ."deal of the year"

Ila wanawake wa humu ni wa kawaida, no, ni below kawaida

Hehehe watu kama nyiee humu mpo wengi,kutana nae sasa anakuja kwa mguu.....wewe umeshakutana na wadada wangapi humu,tuanzie hapo....?
 
Kwa upande nilishakutana na mdada mmoja wa humu aisee alikuwa mkali kinoma.
 
Hehehe watu kama nyiee humu mpo wengi,kutana nae sasa anakuja kwa mguu.....wewe umeshakutana na wadada wangapi humu,tuanzie hapo....?
Hah hah usafiri wangu sio huo ila naelekea huko. Idadi ni siri yangu. Btw,kuna taarifa zimeenea kuwa mnaokimbia kukutana pia mpo wengi kwa sababu mnajijua hamna mvuto kwa hiyo mnaogopa kupondwa baadae humu.
 
Watu wana ndoa zao,
Mnataka mkutane na wake za watu/wachumba wa watu ili iweje??
Hapa hakuna mtu kafata kujionesha yupo vp,
Ni kuchat, kuelimisha, kujuzana, na kuhabarishana,
Kama wataka mambo ya warembo cjui kuonana cjui ngono mbona zipo sites za hivyo nyingi tu,

Nenden mkagoogle.

Halafu mjue humu hakuna watoto kama nyie pekee,
Kuna mama zenu, shangazi zenu mpk bibi zenu,

Acheni mawazo ya kishamba vijana,
Mnatia aibu kama sio kinyaa.
 
Hah hah usafiri wangu sio huo ila naelekea huko. Idadi ni siri yangu. Btw,kuna taarifa zimeenea kuwa mnaokimbia kukutana pia mpo wengi kwa sababu mnajijua hamna mvuto kwa hiyo mnaogopa kupondwa baadae humu.

Wacha mambo ya taarifa,sisi tunataka eksipiriensi yako wewe binafsi,hizo taarifa si unajua tena mtu akipigwa chini wanaweza tunga ya kutunga....
Sasa na wewe unatutamanisha hilo gari kumbe bado ndio tunakaribia kulipata...wengi wenu humu mnaweka avatar za wakaka portable tunawakuta mnavitambi etc etc unawateteaje na hao...?
 
Hahahaa, watu wamechachamaa kama popcorn zinazoiva ujue mtu kashalizwa....

Brenda jamani kekuu, mbona unanitia hsmu yakutaka kukuona live, maana unatetea sana, hebu plz ni pm tuanze kujuana
 
Wacha mambo ya taarifa,sisi tunataka eksipiriensi yako wewe binafsi,hizo taarifa si unajua tena mtu akipigwa chini wanaweza tunga ya kutunga....
Sasa na wewe unatutamanisha hilo gari kumbe bado ndio tunakaribia kulipata...wengi wenu humu mnaweka avatar za wakaka portable tunawakuta mnavitambi etc etc unawateteaje na hao...?

Lijitambi kuuuubwa kamzidi mpk mama mjamzito mwenye mapacha,
Jf avatar yake kaweka mkaka ana eight packs,
Huhuhuhuhu
 
Lisemwalo lipo, wakati we unakataa wenzako akina everhurt wanakubali kuwa wazuri hawapo humu

Nawatamanisha ? Punguzeni tamaa

Umeshakutana na wangapi wenye vitambi?
 
Last edited by a moderator:
Hahhaa daah. My kaka mito ukuje hapa. My fellow reject atoto nimekumiss tu ghafla
 
Last edited by a moderator:
Lisemwalo lipo, wakati we unakataa wenzako akina everhurt wanakubali kuwa wazuri hawapo humu

Nawatamanisha ? Punguzeni tamaa

Umeshakutana na wangapi wenye vitambi?

Nani kasema hayo,

Yawezekana asiwe mzuri mbele ya macho yako lakin akawa mzuri kwa mwenzako,

Labda nikuulize,

KWANI WEWE NI MZURI???
 
Last edited by a moderator:
Lijitambi kuuuubwa kamzidi mpk mama mjamzito mwenye mapacha,
Jf avatar yake kaweka mkaka ana eight packs,
Huhuhuhuhu

Hahahahaha my dear umenichekesha sana,mimi sijawahi ona mwanamke akianzisha uzi kama huuu, inamaana wanaume wote humu wako vizuri au ni basi tu wanawake hatuna makuuu,wabadili hizo avatar za wakaka wazuri wazuri....
 
Lisemwalo lipo, wakati we unakataa wenzako akina everhurt wanakubali kuwa wazuri hawapo humu

Nawatamanisha ? Punguzeni tamaa

Umeshakutana na wangapi wenye vitambi?

Na wewe wacha kutamani avata zetu,avata zetu za wadada wazuri zakuwashia nini kaka angu?
Wote niliokutana nao,Hahahaa tena mmoja kilikuwa kikubwa ka chungu 😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom