Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,261
- 18,265
Wanapunguza stress kibao humu, maana mtaani hawana soko. Huyo everhurt ndo mvuto wake ulishaishaga enzi hizo, tuwavumilie tu
Sawa wewe mwenye mvuto,
Ati unaniambia una macho makubwa tena malegevu,
Duuuh! Ile dhana ya 'jinsi ya tatu' inakuja Duniani nimeanza kuiona,
Sitaki kuamini km shababi aweza sema ana "Macho makubwa tena malegevu"
Msiba huu.
Last edited by a moderator: