Sonko Jr.
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 806
- 320
Kila kitu kina mda wake 'mrembo' nao, 'mrembo wa ukweli'Ngoja nikufowadie na ya Sonko Jr.
Anasema eti anatuonea wivu wadada wa jf,
Kwann attention ni kwetu tu na sio kwake??
Sasa sijajua best nimjibu vipi.
Eeh Mungu tuondolee kizazi hiki cha Sodoma ktk nchi yetu.[/QUO
Tena atuepushe haswa mwanaume badala ya kufikiria unafanyaje kazi kuongeza kipato unawaza shepu,macho malegevu kwamba hadi unawazidi wanawake si uchoko huu!!! Aiseee tuepushwe na hii laana inayokua kwa kasi ya ajabu.
Kuna mda wa kufanya kazi , kuna mda wa kupumzika
Kuna mda wa kufikiria kuhusu mapato, kuna mda wa kufikiria kuhusu matumizi
Kuna mda wa kuwaza kuhusu mvuto wa wanawake, kuna mda wa kuwapotezea wanawake
Last edited by a moderator: