Wadada jf mashallah, au sio picha zenu ni avator tu

Mambo mrembo brenda18?, unajua we ni mzuri, yan sura tu yenyewe inalipa, shepu liko poa yan nguo yoyote inakutoa, ukitabasamu ndo kabisaaaa

Sonko mbona maneno mengi wewe, halafu brenda18 ni mke wa mtu usijisumbue kabisaaa, tuliza makeke
 
Last edited by a moderator:
Sonko mbona maneno mengi wewe, halafu brenda18 ni mke wa mtu usijisumbue kabisaaa, tuliza makeke
Kazoea kusifiwa so nimempa hizo ingawa najua namdanganya ila yeye kazipokea kwa furaha meno yote 32 nje

Na wewe ulivyokuwa mgumu kuelewa umedandia treni kwa mbele
 
Mimi niliwahi kumuona mmoja wa jf member bint wa kike, mmh thubutu!!, hizo avatar wanajaribu kukwepesha real appearance, kama ukifanya naye mihadi ya kuonana (sexually) unaweza kudai 'umepata dharula'. Ili uchomoke.
 
da navutiwa na avatar ya preta na busara zake natani kumuona na kumsikia live
 
Mimi niliwahi kumuona mmoja wa jf member bint wa kike, mmh thubutu!!, hizo avatar wanajaribu kukwepesha real appearance, kama ukifanya naye mihadi ya kuonana (sexually) unaweza kudai 'umepata dharula'. Ili uchomoke.
Hahah hah hah , kumbe ndio maana everhurt amesema kuwa jf sio kwa mambo hayo. Unaweza kukuta unawekeana miadi na shangazi yako.
 
Mm niliweka ahadi na binti wa jf, nikatafuta kiwanja cha gharama colussium hotel, nikaomba niandaliwe meza, nikaenda bank nikavuta mkwanja mrefu nikanunua kiwalo kipya boutique, then saa moja jioni nipo collusium hotel, demu kuja kutokea nilitaka kukimbia, bahati mbaya alishafika kwa meza, mwili kama pink panther yule wa filam ya edi Murphy, sura ya baba, sirudii tena
 
Leo unashida kweli ya kubadili avatar,
Hebu wawekee na hayo 'macho yako makubwa halafu malegevu'
Wakuthaminishe aiseeee
 
Mm niliweka ahadi na binti wa jf, nikatafuta kiwanja cha gharama colussium hotel, nikaomba niandaliwe meza, nikaenda bank nikavuta mkwanja mrefu nikanunua kiwalo kipya boutique, then saa moja jioni nipo collusium hotel, demu kuja kutokea nilitaka kukimbia, bahati mbaya alishafika kwa meza, mwili kama pink panther yule wa filam ya edi Murphy, sura ya baba, sirudii tena

Sio alikuja mwanaume akakufanyia yake akasepa,

Hahahahahaha

Leo watu wanatoa siri zao taratiiibu,

Ndio mana wakali kumbe kwa wadada wa humu!.
 
Hahaaaa mi nasubiri tu kuona huo mtikisiko wako bana

Tena nimeishapata pa kukubania lazima tuonane upende usipende, ahaaaaa!!
Hahaha pa kunibania wapi huko? Aah Sitaki mambo ya kucompare avatar na gusura gwangu akhuu
 
Back
Top Bottom