Wadada jf mashallah, au sio picha zenu ni avator tu

Wadada jf mashallah, au sio picha zenu ni avator tu

wweee wadada wa humu wana jeuri ya kunyima walichopewa na mungu!! ni moja ya ajabu la dunia kuwahi kutokea!!

Hahahaa kumbe sababu ni ulinyimwa kipochi manyoya,nampongeza huyo Dada kwakweli,sasa nimeelewa hasira zote hizo zilitoka wapi....
 
hakuna mtu aliyejisifia uzuri hapa. ila acheni kujifurahishaga wakati hamuendani na mnayojisifia humu!! watu wenyewe mna sura za wajomba zenu na baba zenu halafu ufake kibao!!

Sawa 'mrembo'
Najua ww upo natural wala hutumii make up,

Hehehehe
 
Kuweka avata ni maamuzi ya mtu kwa sababu zake mwenyewe haimaanishi ndivyo alivyo wala hana maana ya kumtamanisha mtu
Na mtu unaevutiwa na avata pia hujielewi,vutiwa na contents za mtu kwanza.....
Halafu pili nivutiwe na nini
 
Hayo ni maneno yako, mi sijasema hivyo wala kijana mkimya hajasema hayo

mkuu everhurt atakuwa ni mmoja wao ndo maana anajitahidi kupinga ukweli kwa kubadilisha maneno!! vinatia huruma sana kwakweli. tuwazoee tu ili tupate kuwafariji humu ndani!!
 
Kweli mwanamke ni mtu muhimu yaani lazima tu ajadiliwe lo inahusu nini nikiwa mbaya ama mzuri?
 
mkuu everhurt atakuwa ni mmoja wao ndo maana anajitahidi kupinga ukweli kwa kubadilisha maneno!! vinatia huruma sana kwakweli. tuwazoee tu ili tupate kuwafariji humu ndani!!

Wanapunguza stress kibao humu, maana mtaani hawana soko. Huyo everhurt ndo mvuto wake ulishaishaga enzi hizo, tuwavumilie tu
 
Last edited by a moderator:
mkuu everhurt atakuwa ni mmoja wao ndo maana anajitahidi kupinga ukweli kwa kubadilisha maneno!! vinatia huruma sana kwakweli. tuwazoee tu ili tupate kuwafariji humu ndani!!

Huruma unatia ww unayevutiwa na mtu kwa Avatar,
Hehehe me sio type yako,
I'm already taken,
Kazi kwako unayeshinda kulia lia kutafuta hifadhi,
Matokeo yake waleta kashfa,

Na inaonesha ww ni mwanafunzi,
Hlf una gundu,
Hata wafanya usafi hawakutaki,

Poor you.
 
Back
Top Bottom