Mwanaume hawezi kupaka poda!na nyie pia wanaume acheni kupaka poda.
aki wanapaka tena wengi tu mbona mpendwaMwanaume hawezi kupaka poda!
Mkuu huyo ww humjui bora ukubali yaishe.. huwa hashindwi kwenye majbzano yeyote.Tunajua hampendi kuambiwa ukweli lakini hakuna namna sasa lazima tuseme tu!
Hawa watu au majini!!!
Hahaha eti foundation inakataa kutii sheriaTatizo sio make up tatizo ni make up gani wanapaka, wengine sijui huwa wanapaka vijiudongo kidogo au ni foundation inakataa kutii sheria basi ni kero kwakweli
Foundation ikikataa kutii sheria ni shidaaaaHahaha eti foundation inakataa kutii sheria

Hahahaaaaa!! Jamani khaaaah!! Sasa hatuwezi kuwa wote classic basi ndio mtuwache tujikandikeee hizi hizi za buku, mtuzoee tu.Kuna make up flan za kishua demu akiwa classic na akipata mrembaji mzuri oooh my God million si pesa utampa bure venye anang'aa
Ila back to uswazi ***** carolite na poda jini maimuna demu kama huyu nikikutana naye asubuh akanisalimia narudi ghetto kulala siku imeshaharibiwa hiyo
Hao ujue wanatafuta fursa ya kuolewa,Pumbaaaaf zao.aki wanapaka tena wengi tu mbona mpendwa
Hahahaaaa!! Hivi ni foundation ndio inatakiwa kutii sheria au mchagua foundation?Tatizo sio make up tatizo ni make up gani wanapaka, wengine sijui huwa wanapaka vijiudongo kidogo au ni foundation inakataa kutii sheria basi ni kero kwakweli
Yaani nimecheka, kuanzia leo itabidi uwe unanipakaa ili nisijeharibia watu siku tafadhali.Hahaha eti foundation inakataa kutii sheria
Hivi mheshimiwa nape hajaona hili suala angalau atoe muongozo?Tatizo sio make up tatizo ni make up gani wanapaka, wengine sijui huwa wanapaka vijiudongo kidogo au ni foundation inakataa kutii sheria basi ni kero kwakweli
Saa tutafanyaje wakati nasi twataka kweda na wakati? Sasa make up wapake kina lulu tu jamani!! Hivi hivi mdogo mdogo mwisho itakaa sawa.Kwa vile zilivo kwakweli hazizoeleki mkuu!
Hahaha mbona tutakuwa kama midoli ndugu yangu. Fani za watu hizo ujueYaani nimecheka, kuanzia leo itabidi uwe unanipakaa ili nisijeharibia watu siku tafadhali.