Hiki kitendo cha wadada kutoka na kanga kwenda kuoga kiukweli kinatutesa sana sisi wanaume

Mussa Lucas

Member
Jun 12, 2022
16
25
Wana Jf natumain ni wazima wa afya,

Mimi nimpangaji na wala sina mda mrefu nimehamia kwenye nyumba hii. Kiukweli hapa nilipopanga tupo wapangaji wanne, mwanaume nipo mwenyewe na sijaoa, yaani nipo single. Hawa wengine ni wadada, kila mdada anachumba chake, kiukweli wote hakuna alieolewa au ana mume.

Kitendo kinachonikera ni hawa wadada kuwa wanatoka kwenda kuoga huku wakiwa wamevaa kanga moja. Kiukweli hiki kitendo mimi kinanitesa sana, haswa nikiimagine nipo single. Kiukweli imefikia hatua kama vile nimelogwa, muda wote nikisikia mdada anatoka kwenda kuoga lazima nitoke nje kuchungulia nione kavaaje.

Kiukweli hii tabia siyo nzuri hasa kwa mwanamke au binti aliyelelewa kimaadili, huwezi vaa kanga mpaka viungo vyote vya mwili wako vinaonekana. Mwili wako unatakiwa uonekane kwa mume wako wa halali tuu, siyo kila mtu aone mwili wako.

Wanaume wameumbwa na maradhi katika mioyo yao, hata kama mwili ni wako tujaribu tu kuwa hata na hofu ya Mungu. Hii Dunia niyakupita tuu, tuache mambo ya ajabu. Kwani ukivaa kitenge kizito juu na chin na kanga juu kunauzito au ugumu gani?

Tubadilike bwana, siyo sawa kabisa. Ambao nitakuwa nimewakwaza mtanisamehe sana.

Inafikia hatua najifikiria hata kuwafanyia kitendo kibaya, jamani nimechoka na mateso haya. Wadada mnatutesa sana.

Kama ushawahi kukutana na mkasa huu haswa nyumba za kupanga, niambie unafanya nini ili usijeleta madhara kwao?
 
Wana Jf natumain ni wazima wa afya.

Mimi nimpangaji na wala sina mda mrefu nimehamia kwenye nyumba hii.kiukweli hapa nilipo panga tupo wapangaji wanne,mwanaume nipo mwenyewe na sijaoa yaani nipo single.hawa wengine ni wadada kila mdada anachumba chake kiukweli wote hakuna alieolewa au anamme..

Kitendo kinachonikera ni hawa wadada kuwa wanatoka kwenda kuoga huku wakiwa wamevaa kanga moja.kiukweli hiki kitendo Mimi kinanitesa sana haswa nikiimagine nipo single, kiukweli imefikia hatua kama vile nimelogwa mda wote nikisikia mdada anatoka kwenda kuoga lazima nitoke nje kuchungulia nione kavaaje.

Kiukweli hii tabia sio nzuri hasa Kwa mwanamk au Binti Alie lelewa kimaadili huwez vaa kanga mpk viungo vyote vya mwili wako vinaonekan mwili wako unatakiw uonekane Kwa mume wako wa halali tuu sio Kila mtu aone mwili wako wanaume wameumbwa na maradhi ktk mioyo Yao hata km mwili niwako tujaribu tuu kuwa hata nahofu ya mungu hii dunia niyakupita tuu tuache mambo ya ajabu Kwan ukivaa kitenge kizito juu na chin nakanga juu kunauzito au ugumu gan? ? Tubadilike bhan sio sawa kabisa AMBAO NITAKUW NIMEWAKWAZ MTANISAMEHE SAAN

Inafikia hatua najifikiria hata kuwafanyia kitendo kibaya,jamani nimechoka na mateso haya.wadada mnatutesa Sana..
Kama ushawahi kukutana na mkasa huu haswa nyumba za kupanga niambie unafanya nini ili usijeleta madhara kwao??
Na sisi tuwe tu kama hatuwaoni tuone itakuwaje
 
Hamia Masaki.
 
Hamna balozi wa nyumba 10 hapo
 
Sasa kuwa mkweli, ulitaka waende kuonga wamevaa suti?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom