Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,827
- 15,015
Duuh...Hivi hawa wako serious kweli...Hapa wanajiandaa kutoka out au ndo washatoka tayari?
Duuh...Hivi hawa wako serious kweli...Hapa wanajiandaa kutoka out au ndo washatoka tayari?
Mkuu..Hizi picha unazitoa wapi?
washatoka hao wapo kiwanja!!! hapo full kujishaua teh tehDuuh...Hivi hawa wako serious kweli...Hapa wanajiandaa kutoka out au ndo washatoka tayari?
Au ni bongo movie wapo location?washatoka hao wapo kiwanja!!! hapo full kujishaua
Kwa Muda mrefu nimekua nikiwavumilia sana na hizi poda zao, yaani unakuta mdada kapaka poda mpaka unashangaa huyu hakuwa na kioo ajione alivotoka? Yaani hana hata urafiki na majirani angalau wangemwambia akazipunguze tu basi?
Leo nimesikitika zaidi na naandika huu uzi kwa mfadhaiko sana nilipokutana na mdada kapaka poda kama Maiti!!!! walahi mnaweza cheka lakini kwa poda ile jamani hapana unaweza kuota usiku hasa kama uliyekutana naye anafanana na ndugu/rafiki ambaye unamfahamu na kwa bahati mbaya akatutoka!
Sasa wadada jamani msidhani wanaume wanazipenda hizo poda na wala msidhani mnavutia saaana mkipaka, sanasana mnaongeza joto tu hapa mjini!
Kitu kingine ni hizo lipstick!
Jamani give us a break tuna vitu vingi tu vya kushangaa yaani unakuta eti ndo kumechisha wigi, lipstick, wanja, kucha, hadi nyusi?
Aaah jamani HAMPENDEZI kuweni tu original and simpe i swear mtapendeza sana
Message Sent na yaweza kuwa delivered pia maana yule niliyekutana naye anaonekana mjanja tu siamini kama hayupo humu jf !
Hii sasa sifa
hawa watakua wapo location. wabongo muvi katika ubora waoAu ni bongo movie wapo location?
mkuu hizo picha zipo mitandaoni, wanaziweka wenyewe mashoriiMkuu..Hizi picha unazitoa wapi?
Hahahaa ati unarudi geto siku imeharibiwa....Kuna make up flan za kishua demu akiwa classic na akipata mrembaji mzuri oooh my God million si pesa utampa bure venye anang'aa
Ila back to uswazi ***** carolite na poda jini maimuna demu kama huyu nikikutana naye asubuh akanisalimia narudi ghetto kulala siku imeshaharibiwa hiyo
Duuh..Basi kuna wanawake hawako serious aisee..mkuu hizo picha zipo mitandaoni, wanaziweka wenyewe mashorii
Hahahaa ati unarudi geto siku imeharibiwa....
Makeup zipo unaweza apply and ukabaki na mwonekano wako wa asili and classic,nude lipstck,smoky eyes,foundation inayomatch na skintone yako etc
Hahahaa, wakiambiwa wanaona tunawaonea uwivu lol... sijawahi kuona mtu kajikosea hivyo usoni nikimuona nitamwambia....Hahahaa maelezo mazuri
Lakini si muwe mnaambiana angalau mnatuumiza sometimes
Hahahaa, wakiambiwa wanaona tunawaonea uwivu lol... sijawahi kuona mtu kajikosea hivyo usoni nikimuona nitamwambia....
Mfano mzuri mke wa fella makeup zake kama jini ila haambiwi hasikii
Aisee mkuu wewe ni exceptionalKweli tunatofautiana mkuu, mwanamke asipotumia powder kwangu Big No.