Wadada: Hizi Makeup, give us a break

Wadada: Hizi Makeup, give us a break

Aisee mkuu wewe ni exceptional
Unawezaje kuzivumilia
Na zile wanja zao akikugusa shati tu kakuchafua
Halafu wana makusudi sana anaona umependeza zako mara anakudekea kakulalia kifuani shati lishajaa mipoda na miwanja jamani inaboa!
Mdau hujui kipendacho roho hula nyama mbichi..
 
Wanawake wenye lips nene lipstick zinawapendeza... wengine wanapakaa poda n siyo makeup ndiyo maana wanapauka tena Johnson's Baby powder...
 
Hahahaa ati unarudi geto siku imeharibiwa....
Makeup zipo unaweza apply and ukabaki na mwonekano wako wa asili and classic,nude lipstck,smoky eyes,foundation inayomatch na skintone yako etc
Dah Jamani muwe mnaelekeza wenzenu kama kuna substitute ya hicho kitu maana wanawatilia aibu wote sasa
 
Hahahaa, wakiambiwa wanaona tunawaonea uwivu lol... sijawahi kuona mtu kajikosea hivyo usoni nikimuona nitamwambia....
Mfano mzuri mke wa fella makeup zake kama jini ila haambiwi hasikii
aisee mke ya celebrity naye anashindwa kumudu angalau hiyo mpauko maana hii mkolezo kwakweli haifai..!
 
Wanawake wenye lips nene lipstick zinawapendeza... wengine wanapakaa poda n siyo makeup ndiyo maana wanapauka tena Johnson's Baby powder...
Aisee kumbe hzo jonson ndo zinazowaharibu
 
Hahahaa, wakiambiwa wanaona tunawaonea uwivu lol... sijawahi kuona mtu kajikosea hivyo usoni nikimuona nitamwambia....
Mfano mzuri mke wa fella makeup zake kama jini ila haambiwi hasikii
ni mzenji yule kawaida yao hiyo
bila kulikoboa uso kwa milangi ya ajabu ya ajabu ya mipoda bdo ajapiga picha achilia mbali kutoka OUT
 
Mwanamke akijipaka hayo hapendezi ila Anakinaisha. Wengi wao ni wale wa Uswahilini au hata madent na mabinti wengine ambao kwao hawana uwezo mkubwa...yaani hata denda huwezi gonga.

ILA kuna lipsticks sijui shedo mpaka perfume n.k za watoto wa kishua...hizo ni kali haswa na sio rahisi ugundue kazitumia hadi umsogelee kabisa.
 
na nyie pia wanaume acheni kupaka poda.
 
na nyie pia wanaume acheni kupaka poda.
Aisee!
Ukimuona mwanaume kapaka poda nishitue mkuu maana inabidi tuanze mambo ya kifimbo cheza sasa mwanaume gani huyo labda si rizki atakua!
 
Aisee!
Ukimuona mwanaume kapaka poda nishitue mkuu maana inabidi tuanze mambo ya kifimbo cheza sasa mwanaume gani huyo labda si rizki atakua!
Mbona wanaume kibao tu wanapaka poda na lipshine. .
Tena wakienda kwenye mashuguli ndo usiseme linakolezwa ili mwanga wa camera ukiwapiga watoke fureshi
 
Back
Top Bottom