Wadada: Hizi Makeup, give us a break

Wadada: Hizi Makeup, give us a break

Kiongozi, kwani yupo wa humu ambaye unafahamu anavyojiremba? Nyie watu hatari sana!!
kuna mmoja alijitutumua kunitumia picha yake ili nimuone jinsi alivyomzuri cha ajabu na kweli kama sio make up nadhani ingekuwa balaaa
 
Mkuu umekutana na 98% ya wadada wa humu??!!!!!!!
mkuu kwani hawa waliohumu ndani na wale tunaowaona kule mtaani kunatofauti gani? Nilichozungumzia ndio ukweli kwa kuwa tunaishi nao mtaani na humu ndani pia
 
kuna mmoja alijitutumua kunitumia picha yake ili nimuone jinsi alivyomzuri cha ajabu na kweli kama sio make up nadhani ingekuwa balaaa
mkuu kwani hawa waliohumu ndani na wale tunaowaona kule mtaani kunatofauti gani? Nilichozungumzia ndio ukweli kwa kuwa tunaishi nao mtaani na humu ndani pia
You got issues bro!
 
Kwa muda mrefu nimekua nikiwavumilia sana na hizi poda zao, yaani unakuta mdada kapaka poda mpaka unashangaa huyu hakuwa na kioo ajione alivotoka?

Yaani hana hata urafiki na majirani angalau wangemwambia akazipunguze tu basi?Leo nimesikitika zaidi na naandika huu uzi kwa mfadhaiko sana nilipokutana na mdada kapaka poda kama Maiti!

Walahi mnaweza cheka lakini kwa poda ile jamani hapana unaweza kuota usiku hasa kama uliyekutana naye anafanana na ndugu/rafiki ambaye unamfahamu na kwa bahati mbaya akatutoka!

Sasa wadada jamani msidhani wanaume wanazipenda hizo poda na wala msidhani mnavutia sana mkipaka sana mnaongeza joto tu hapa mjini!

Kitu kingine ni hizo lipstick!Jamani give us a break tuna vitu vingi tu vya kushangaa yaani unakuta eti ndo kumechisha wigi, lipstick, wanja, kucha, hadi nyusi? Aaah jamani hampendezi kuweni tu original and simpe i swear mtapendeza sana.

Message Sent na yaweza kuwa delivered pia maana yule niliyekutana naye anaonekana mjanja tu siamini kama hayupo humu JF!
Mkuu wengine wanaboa,usiombee mid a ya asubuhi mnakutana ktk daladala unakuta MTU kajikandika make up anakuwa kama motto Wa ngedere basis inakera basis tu.
 
Sioi mwanamke design hyo. Ni aibu hata kwa wazazi. Mwingine ukimuona utasema kama kuku wa kukaanga.

Mwanamke wa kujikoboa koboa ma powder hafai kwa mtu intellectual na hadhi yake.
 
Teh teh em ngoja niamwangalie vizuri kuku wa kukaanga
 
ha ha ha
unanikumbusha make up za mademu wakinzanzibar
ni noma mzee araf wenywe wanajiona wamependeza full mishauo ukiwakuta harusini

nina wasiwasi atakuwa ni mnzanzibar huyo mana ndo zao kujikoboa usoni ka VINYAGO
Hakika hujakosea, utakuta rangi zote zilizopo kwenye mtandio zimepakwa usoni.
 
Wakiwa wanajikandika make - up na kuvaa fake wigs wanadhani wanatu-impress sisi wanaume, mm kiukweli naboreka na fake wigs coz kila m2 anajua si nywele zake bora tu demu anyoe hlf achonge frem, ibra87
 
unakuta Rangi ya nyusi ni blue, pua njano, mavazi kijana, viatu nyekundu, kucha pink huku kichwani wigi jeusi kuna kila sababu ya madada wenyewe kwa wenyewe kufungua madarasa ya kufundishana uvaaji otherwise ipo siku watakimbiwa
 
Kwa muda mrefu nimekua nikiwavumilia sana na hizi poda zao, yaani unakuta mdada kapaka poda mpaka unashangaa huyu hakuwa na kioo ajione alivotoka?

Yaani hana hata urafiki na majirani angalau wangemwambia akazipunguze tu basi?Leo nimesikitika zaidi na naandika huu uzi kwa mfadhaiko sana nilipokutana na mdada kapaka poda kama Maiti!

Walahi mnaweza cheka lakini kwa poda ile jamani hapana unaweza kuota usiku hasa kama uliyekutana naye anafanana na ndugu/rafiki ambaye unamfahamu na kwa bahati mbaya akatutoka!

Sasa wadada jamani msidhani wanaume wanazipenda hizo poda na wala msidhani mnavutia sana mkipaka sana mnaongeza joto tu hapa mjini!

Kitu kingine ni hizo lipstick!Jamani give us a break tuna vitu vingi tu vya kushangaa yaani unakuta eti ndo kumechisha wigi, lipstick, wanja, kucha, hadi nyusi? Aaah jamani hampendezi kuweni tu original and simpe i swear mtapendeza sana.

Message Sent na yaweza kuwa delivered pia maana yule niliyekutana naye anaonekana mjanja tu siamini kama hayupo humu JF!
Kuna watu tunazipenda hizo make up unazozichukia wewe so usitake kila mtu awe unavyotaka wewe
 
Kila mtu na anachokipenda mradi hajakuibia
Kwa muda mrefu nimekua nikiwavumilia sana na hizi poda zao, yaani unakuta mdada kapaka poda mpaka unashangaa huyu hakuwa na kioo ajione alivotoka?

Yaani hana hata urafiki na majirani angalau wangemwambia akazipunguze tu basi?Leo nimesikitika zaidi na naandika huu uzi kwa mfadhaiko sana nilipokutana na mdada kapaka poda kama Maiti!

Walahi mnaweza cheka lakini kwa poda ile jamani hapana unaweza kuota usiku hasa kama uliyekutana naye anafanana na ndugu/rafiki ambaye unamfahamu na kwa bahati mbaya akatutoka!

Sasa wadada jamani msidhani wanaume wanazipenda hizo poda na wala msidhani mnavutia sana mkipaka sana mnaongeza joto tu hapa mjini!

Kitu kingine ni hizo lipstick!Jamani give us a break tuna vitu vingi tu vya kushangaa yaani unakuta eti ndo kumechisha wigi, lipstick, wanja, kucha, hadi nyusi? Aaah jamani hampendezi kuweni tu original and simpe i swear mtapendeza sana.

Message Sent na yaweza kuwa delivered pia maana yule niliyekutana naye anaonekana mjanja tu siamini kama hayupo humu JF!
 
kuna mmoja alijitutumua kunitumia picha yake ili nimuone jinsi alivyomzuri cha ajabu na kweli kama sio make up nadhani ingekuwa balaaa
Duh, kiongozi we hatari. Kila mtu ana uniqueness yake, as long as yupo natural hakuna tatizo kwangu.
 
Kuna kipindi nlikuwa na date binti flan hivi maeneo ya kitaa. Kila tulipokuwa tunaagana after any meeting,ilikuwa lazima anihug. Mimi hupendelea sana kuvaa nguo nyeupe,hasa t-shirts.

Kuna siku ilikuwa nafanya usafi wa nguo zangu,nkakuta almost all of my t-shirts zina marangi rangi mekundu sehem za mabegani kuelekea mgongoni. Nikajiuliza sana,ila kwavile mizunguko yangu huwa mingi nkahisi kunasehemu niliegemea tu.

Ilinichukua muda sana kuja kutambua kuwa zile ni rangi toka kwenye uso wa yule binti kila alipokuwa akini hug.

Dada zangu,mpendeze msipendeze ilo niswala lenu binafsi, mimi naomba mjali na mavazi yetu sisi mnaotu-hug.

#Analyse.
 
Mkuu wengine wanaboa,usiombee mid a ya asubuhi mnakutana ktk daladala unakuta MTU kajikandika make up anakuwa kama motto Wa ngedere basis inakera basis tu.
Aisee na zile purukushani za asubuhi kuwahi makazini wengine wana uniform sasa akikugusa tu shati tayari mara ina madoa matatu la wanja, poda na lipstik ya bluu yaani shida sana kwakweli!
 
Mkuu, hizo sio poda ni puti kama za gari iliyopata ajali ili wazibe makorongo usoni. Angalia wengi wapaka puti kaumri kamesogea.
Acha tu wajirembe na puti zao.
 
Aisee kumbe hzo jonson ndo zinazowaharibu
kha! hata jihson mnaiandama?? ndo kapoda kangu na plistik yangu vaseline. hizo poda za kwenye vimikebe kwanza ghali halafu na joto hili basi ukichuruzika jasho uso unakuwa kama una "gully erosion".
 
Back
Top Bottom