Salaam wadau,
Kuna swali huwa najiuliza ukweli/uhalisia wake huku nikijua hii sababu huwa ni mojawapo ya wadada kumpa mwanaume penzi.
Hivi ni kweli unaweza kumpa mwanaume penzi kisa umemuonea huruma?
Kama ni kweli, inamaana umekuwa umesukumwa na nini?
Hisia gani za kimapenzi kwa huyo mtu?
Je utakuwa na feeling kweli?
Yaani eti kisa amekufukuzia muda mrefuuuu miaka say 5yrs, then eti umemuonea huruma umeamua kumpa penzi sasa naomba kujua umekuwa umesukumwa na huruma, hisia nae?
Achilia mbali factors nyingine kama pesa, handsome, kazi,nk
Nazungumzia factors moja tuu ya kumuonea huruma