Wadada: Hivi unaweza kumpa mwanaume penzi kisa umemhurumia?

ikigijo

JF-Expert Member
Aug 23, 2017
1,822
1,875
Salaam wadau,

Kuna swali huwa najiuliza ukweli/uhalisia wake huku nikijua hii sababu huwa ni mojawapo ya wadada kumpa mwanaume penzi.

Hivi ni kweli unaweza kumpa mwanaume penzi kisa umemuonea huruma?

Kama ni kweli, inamaana umekuwa umesukumwa na nini?

Hisia gani za kimapenzi kwa huyo mtu?

Je utakuwa na feeling kweli?

Yaani eti kisa amekufukuzia muda mrefuuuu miaka say 5yrs, then eti umemuonea huruma umeamua kumpa penzi sasa naomba kujua umekuwa umesukumwa na huruma, hisia nae?

Achilia mbali factors nyingine kama pesa, handsome, kazi,nk

Nazungumzia factors moja tuu ya kumuonea huruma
 
Tupo wengi tu tunaopendwa kwa kuhurumiwa
Mkuu unahisi anakuhurumia kwasababu huna Pesa Au kwasababu umemuhangaikia sana?
Na je akiwa na wewe anapata Hisia kweli kama kakuhurumia tuu ili usiumie wewe na sio yeye??
 
Huruma ya nn sasa? Apambae na hali yake.
Huruma kwa maana amekufukuzia sanaaa ila ulikuwa humtaki/hutaki kumpa Penzi...sasa inafika kipindi unamuonea Huruma unaamua kumpa Penzi sio kwasababu hana hela...Hela Anazo sana tuu ila ulikuwa hutaki kwasababu unazozijua wewe...sasa imefika kipindi umeona Umpe tuu Penzi kwa Kumuonea Huruma...na sio mambo ya Pesa hapana
 
Inawezekana sana maana mwanaume akizidiwa huwa anakaribia kufa inabid umuokoe tu
Ok sawa kabisa hili ndo jibu nilitaka kusikia toka kwa MMOJA WA Wadada....
sasa swali langu ni Je...unapompa Penzi na hisia za Kufanya nae zinakuwepo kwake? yaani Mwili unaweza kusisimka kuwa nae? Au sababu ya Huruma tuu unafumba Macho ili Asiendelee kuumia kijana wa watu na sio kufurahisha nafsi yako...so ili yeye Kijana Afurahi.
 
Ndiyo wapo.

Kuna ambaye nilikuwa napiga naye story tu, nikamuambia sijapiga kitu muda mrefu sana kisa sina mwanamke.

Alikuwa akiniamini sana, akaingiwa na huruma na kunizawadia tunda kiulaini. Hata sikumuomba, alinionea huruma tu kwa sababu ya Ugwadu wangu.
 
Kuna demu nilimfukuzia kwa muda asa siku yenyewe sikufanya makosa nilipo pata nafasi japo njiani nikajifanya kulia na machozi kabisaa akaingiwa na huruma akanbembeleza kilicho fuata ni kuniuliza tutakutania wapi na muda gani kazi ikawa imeishia hapo
Mkuu nikuulize swali kuwa Mkweli tuu coz wanaume wengi wa JF Kazi yao ni kujisifia tuuu...unafikiri alivyokuwa anakuzungusha na alivyokupa aliona Tofauti kwake...yaani tofauti kati ya alivyokuwa anakuzungusha na baada ya kukupa Mzigo?
 
Mkuu unahisi anakuhurumia kwasababu huna Pesa Au kwasababu umemuhangaikia sana?
Na je akiwa na wewe anapata Hisia kweli kama kakuhurumia tuu ili usiumie wewe na sio yeye??
Hana hisia ananihurumia tu kisa sina pesa na nilimuhangaikia sana
 
Back
Top Bottom