Wadada: Hivi unaweza kumpa mwanaume penzi kisa umemhurumia?

Yeah inawezekana kabisa na hata ukiangalia nature ya kutongozana ilivyo ni huruma ya mtongozwaji tu ndo inafanya mahusiano yazaliwe na kiafrica mwanamke ndiye mtongozwaji[/QUOTE
Uko sahihi kabisa ulivyojibu...
1.sasa kuna kitu najiuliza ukishamkubalia kwasababu ametia hadi huruma ukimuangalia usoni...na Kaupendo/hisia kwake za kimapenzi ndo zinaanza kuja Au una maanisha ile kumuonea huruma ni nature tuu ya kutongozwa unajikuta unasema ngoja tuu ukubali usimtese mwenzio

2.Je na wale wanawake ambao anamkubali bila kumuonea huruma...yaani baada ya kutongozwa tuu anafeel huyu jamaa mfano IKIGIJO Simuachi lazima tuu ntamkubalia...yaani unakuwa ulishamkubalia moyoni unachosubiria ni tongozo lake tuuu.

3.Je Huruma hii ya Mtongozwaji ndani yake mwanzoni kabla ya kumpa jamaa inakuwa na Hisia ndani au ni huruma tuu ili jamaa asiendelee kumsumbua sumbua....Nataka kutofautisha kumpa Mwanaume kwa kumuonea huruma na yule anaepewa bila kuonewa huruma...
Yaani hawa wanaume wawili...hawaoni kama wakiwa peke yao mmoja anaweza kujisifu kwa mwenzie kuwa wewe ulionewa huruma ndo maana ukapewa na ulisumbuka muda mrefu....ila mimi mtu huyo huyo haikuchukua muda mrefu..that is sikuonewa huruma ila ni jitihada zangu nikapewa....
Unasemaje kuhusu hilo?
 
Nimeshawahi kumhurumia mheshimiwa fulani hivi 1 tu maana niliona roho na mwili vinatengana mtu mzma akililia machoz papuchi unaweza pata laana
Duuuuuh yaan hapa mbavu sina hahahaaaaaa tumbo langu wweeeeeee kabisa ni muheshimiwa!!!
 
Back
Top Bottom