Wadada: Hivi unaweza kumpa mwanaume penzi kisa umemhurumia?

Ok Ok,ina maana hakuna kuangalia Mvuto wa Sura/Physical appearance ya Mtu?

Ina maana hata Bambo akiwa na Faranga anakula tunda? wewe hujawahi Mtamani Mwanaume?

Je Ukisikia kuwa Mwanaume flani say wa Rafiki yako Boyfriedn wake Anamfikisha sana sana kileleni mchumba wako ambae

labda ni Shosti yako...wakati wewe wako ana hela lakini wala hakufikishi Kileleni..huwezi Tamani ??
luckyline
 
Simple tuu, hakuna mwanaume kwenye pesa ambae hamfikishi mwanamke kileleni. Fanya utafiti.

Kwa sababu:

Mwanaume kwenye pesa hatumii nguvu kumkomoa mwanamke anafanya poleplee na mwanamke anafika.

Mwanaume ambae hana pesa ni kujitututumua tuu, Mara magori, 7 Leo namkoa chukuli chukuli chukuli kumbe hakuna kitu, uchoyo, maana hana pesa anajua mwanamke kesho harudi, basi akimpataaaa ni kujitutumua, mwisho hakuna alichofanya.nyoooo!
 
We unapenda Pole Pole...?
 
Salaam wadau,

Kuna swali huwa najiuliza ukweli/uhalisia wake huku nikijua hii sababu huwa ni mojawapo ya wadada kumpa mwanaume penzi.

Hivi ni kweli unaweza kumpa mwanaume penzi kisa umemuonea huruma?

Kama ni kweli, inamaana umekuwa umesukumwa na nini?

Hisia gani za kimapenzi kwa huyo mtu?

Je utakuwa na feeling kweli?

Yaani eti kisa amekufukuzia muda mrefuuuu miaka say 5yrs, then eti umemuonea huruma umeamua kumpa penzi sasa naomba kujua umekuwa umesukumwa na huruma, hisia nae?

Achilia mbali factors nyingine kama pesa, handsome, kazi,nk

Nazungumzia factors moja tuu ya kumuonea huruma

Si kweli kama wanamuonea mwanamme huruma, wanawake kisayansi ndiyo wana nyege zaidi ya mwanamme....utakuta mwanamke anakuwa na nyege na anashindwa kujisitiri hivyo atatafuta sababu/kisingizio kuwa nilimpa Bw. Mkereketwa_Huyu kwa sababu nilimuonea huruma kumbe si kweli alitaka tu kuondoa nyege zake kwangu. Embu jiulize, mwanamme anamnyanyasa mwanamke kwa kila hali mpaka mwanamke anajisikia hana thamani kwa huyo mwanamme, leo hii amuonee huruma ampe game, inakuja kichwani kweli? Sote twajuwa mwanamke ni mtu anayetawaliwa na hisia na hisia yake ikitoweka kamwe hatotoa mechi.
 
Back
Top Bottom