Wadada bhana!

Wadada bhana!

tuseme ya nini wakati hilo swala lipo wazi. uongo Preta?
 
Last edited by a moderator:
mtoto wa kike akisema " awe na bidii na mwenye kujishughulisha".......THTS MEANZ PESAA..SABABU KULITAMKA NENO LENYEWE NIKAMA LINALETA HISIATOFAUT KAMA YA DHARAU IV....ET??
 
Bado wanatafiti nani mwenye pesa huko mitaani ngoja warudi utaona vumbi lake.
Mtalalamika sana na na bado pesa zitawatoka mpaka mshangae, mbona mnaishia kulalamika mchana na usiku lakini kuhonga hamuachi???,ww usiokuwa na hela kaaa pemben acha wenye nazo waendelee kuzitoa,.
 
Mtalalamika sana na na bado pesa zitawatoka mpaka mshangae, mbona mnaishia kulalamika mchana na usiku lakini kuhonga hamuachi???,ww usiokuwa na hela kaaa pemben acha wenye nazo waendelee kuzitoa,.

duuuuuhhhhhhhh...uanaume kaziiiiii
 
Useme live bila chenga abt pesa unaumwa?,hehheheh,ya moyoni yanabaki moyoni,wenye pesa wanajulikana mbona,
 
Mtalalamika sana na na bado pesa zitawatoka mpaka mshangae, mbona mnaishia kulalamika mchana na usiku lakini kuhonga hamuachi???,ww usiokuwa na hela kaaa pemben acha wenye nazo waendelee kuzitoa,.

hahhaha,umeona ehh...tena hadi wanaona sifa kugharamia,mi leo kuna jamaa mmoja nilimsikia ye gia yake mdada unaombwa na account number kabisaa unavikuta vitu vishatulia,
 
mm nataka awe na hvyo vigezo jumlishaa pesa ya kuweza kuhandle mahusiano..pia pesa ni kigezo cha mtu mtafutaj hata cku 1 ctakubali kuwa na guy hasaki pesa na kumuombea Mungu azidi bariki kazi ya mikono yake.. unless ndy ile dem anachit akitafta mwenye pesa. mpo apo?
 
mtoto wa kike akisema " awe na bidii na mwenye kujishughulisha".......THTS MEANZ PESAA..SABABU KULITAMKA NENO LENYEWE NIKAMA LINALETA HISIATOFAUT KAMA YA DHARAU IV....ET??

sure thing
 
Mtalalamika sana na na bado pesa zitawatoka mpaka mshangae, mbona mnaishia kulalamika mchana na usiku lakini kuhonga hamuachi???,ww usiokuwa na hela kaaa pemben acha wenye nazo waendelee kuzitoa,.
Mama mbona mkali sana, au umenichunuku nini? Maana aliyetoa hoja mwingine lakini ulivyonirukia kama nisingekwepa...

Au ndiyo wewe uliyekuwa mitaani ukisaka mwenye pesa? kweli vumbi tumeliona
 
Umebarikiwa mkono utoao kuliko upokeao.

Source: Holy Bible

Kwa mantiki hii, wanaume tuendelee kutoa ili tubarikiwe zaidi, tuwaache waliozoea kupokea waendelee kukinga mikono mpaka kiama. Tutachunwa kila siku lakini hatutafilisika kwa kuwa tuko chini ya Baraka kama Taifa la Israel. Hahaaaaaaaaaa.......
 
Wasikuchezee kabisa dada yangu, alah!

Umeona eeh... Kama pesa ya kula mboga saba ninayo, kwenda salon ninayo na mahitahi ya muhimu ninayo.... Natafuta mwanaume wa mwenye mapenzi ya kweli!!!!
 
Back
Top Bottom