Very sor kama sio ww ila feelings zilinifanya niandike hivi, nawachukia sana watu wanaopenda kuwalaumu wasichana kila siku, kwanza naanza na ww, ww uliniona mtaa gan me natafuta mwenye pesa??????hiv unafikir pesa zako mm zinanisaidia nn?????tatizo lenu mna pesa za mawazo ndio maana zinawafanya mlalamike mchana na usiku.kwa sababu wenye nazo hata hawaoni shida , sasa ambao hawana ndio kucha kuwakandia wasichana.dont take girls for granted, mbona mnataka kutufanya sis hatuwez kutafuta hela ni nyie tu mnaweza???????? pia usipende kuwa negative sana kwa girls kwa kufwata mkumbo kisa huwa wanaongelewa hivo. hela yako uliyo nayo kidogo itumie kwa matumizi sahihi.