Wachina hawafungui maduka leo huruma

Wachina hawafungui maduka leo huruma

Hii jamii ya kichina TZ inaongezeka sana, halafu wana umoja sana, na sasa kama wanajiamini mpaka kufanya maandamano nchini hapa kwa uhuru ukilinganisha na mTZ mwenyewe. huu ni mwanzo wa hawa jamaa kututawala siku si nyingi tusipokuwa makini.
 
wanao support vifo vya wachina wana ubaguzi na ndio wanaoua albino hawa maana hawana utu, hata nyerer aliwaacha kwa kuwa walitupa mchango sana kuwaondoa wazungu ambako waafrika wengi wanakimbilia kwenda kubeba mabox na kuosha vyoo lakini china watu waenda kujifuza ujasilimia mali, wenye vichwa vigumu tutawajua tu wanamaamuzi ya kuaua
 
Hii jamii ya kichina TZ inaongezeka sana, halafu wana umoja sana, na sasa kama wanajiamini mpaka kufanya maandamano nchini hapa kwa uhuru ukilinganisha na mTZ mwenyewe. huu ni mwanzo wa hawa jamaa kututawala siku si nyingi tusipokuwa makini.

america walisema china want to re-colonies africa
nahisi ni kweli
 
Tanzania bwana.
Mgeni anakuwa na nguvu zaidi ya mwenyeji.
 
kama wao wanaandamana kwetu na sisi tunashindwa kuandamana kwetu.... basi ni kasheshe
 
Kumbuka huko China na India kuna Watanzania wengi tu, wengi wao wanapewa elimu huko.
mauaji hayakubaliki kwa namna yeyote
ila serikali kwa nini imewaacha wachina kuendesha underground ecomomic activities/dark market????????
hivi hao vibarua wa kichina gereji sinza wanaonyoosha magari na kupaka rangi watanzania hawaziwezi hizo kazi????????
serikali inachochea chuki waziwazi
 
wanaacha kuzika wanabaki kuuza sura na magari yao eti wanaandamana kuhamia eyateli ambako hamna loba za mbao wala vibaka.
Kali kuliko:
kumbe loba ikikolea ujuzi wa kung fu unapotea!! Kumbe tujifunze roba tuachane na karate zao

mkuu wale wanachoma awaziki na wangeruhusiwa kula wangekula binadamu nakwambia
 
Police wetu kwa kuwaogopa wageni tu hawajambo,sijui ni lugha ndio inayochangia? me siwaelewi kabisa hawa police kama vipi watengewe bajeti ya kusoma english couse.

english course ili kuongea na wachina? mhm?
 
Dar! hawa jamaa nasikia walimuondoa mtz mmoja machine ya kukojolea.
 
nipeni namba ya simu ya aliyempiga roba nimpe salio la kutosha ktk akaunt yake .............i wish wangepigwa roba ka 70 ivi + wahindi 2000
AMINATA
Vipi?
Unataka kufuata siasa za "kabacholi"?
"Nazis" wa Urusi huwashambulia waafrika huko hili ungelikubali pia?
Au watanzania walioko sehemu mbali mbali duniani wakifanyiwa mbaya utafurahia?

Vizuri vyombo vya sheria vichukue hatua na vifanye kazi yake na sio kujichukulia sheria mkononi kama wachina hao wanavunja sheria. Vyenginevyo tunakaribisha chaos.
 
tunasikitishwa na hali ya usalama mdogo wa raia pamoja na wageni tanzania"
[/QUOTE]

Kumbe wanafanya hii na kwa niaba yetu, sasa mbona twawatania?

Asante wachina kwa kutusemea sisi raia tusiojua haki zetu, mabubu, waoga etc, Tunaomba Mungu Kova awasikie na aimarishe ulinzi, na tutawakumbuka kwa kusema ulinzi huu unaletwa kwa hisani ya wafanyabiashara wa Kichina.
 
...Hivi intelijensia ya afande Saidi Mwema iliona ni salama hao wachina kuandamana kwenye nchi yetu? Kweli wabongo ni bongo lala hasa....Kwa hiyo na wale watz walioko china wanaweza kupewa kibali kuandama katika nchi ya wenyewe?[/QUOTE]

Thubutu! Wataishia kuswekwa lupango na vipigo vya hali ya juu na hata kubambikiwa kesi. Wenyeji walijaribu kuiga maandamano ya nchi mbali mbali za Uarabuni katika kupinga maovu, cha moto walikiona.
 
huu ni unyama bora wangemkomba kila kitu lkn sio kuuwa
labda watakuwa majambazi kutoka arusha lkn wa dar wastaarabu hawauwi hovyo
na watanzania walio china ndugu zetu nao wakiuliwa tusemeje tuwapongeze wauwaji???

Ni kweli mkuu hata mimi siungi mkono kabisa kitendo cha kuua mtu kwa sababu hizi ambazo wachangiaji wengi wanasema hapa. Kama kuna wahamiaji haramu basi watu wa uhamiaji wafanyekazi yao vizuri na si kuwaua.
 
mchina aliye uwawa ni mwanamke.alipigwa lisasi akiwa anatoka getini nyumbani kwao wakati anapeleka hela bank mil36.alikodi taxi.wameshakamatwa watu watatu.kova kasema mwenye taarifa za waliohusika watapewa mil5.walikuwepo msibani ni mama salma,kova na benard membe.mchina mwenyewe alikuwa anakaa barabara inayo enda masai club kurasini mita50 kutoka barabara ya kilwa nyuma ya ofisi za uhamiaji.ni karibu na kituo cha polisi cha kilwa road.wachina wametambikia alipopigiwa lisasi ya kichwa na ndipo tumeagia.mia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom