Wachina hawafungui maduka leo huruma

huu ni unyama bora wangemkomba kila kitu lkn sio kuuwa
labda watakuwa majambazi kutoka arusha lkn wa dar wastaarabu hawauwi hovyo
na watanzania walio china ndugu zetu nao wakiuliwa tusemeje tuwapongeze wauwaji???
majambazi wastaarabu?labda wewe mmoja wao,kama sio nakuombea ukutane nao
 
hawa jamaa wameandamana wako huku kurasini opp na jitegemee njia ya kwenda uhamiaji HQ wakilaani mauaji hayo na mh kova yupo hapo alizungumzia sakata hilo na amewaambia tayari watu watatu washakamatwa kuhusiana na sakata hilo
 
yani sipati picha wachina wakigoma hila siwalaumu ata kidogo nailaumu serikali yetu na watanzania wenzangu kukubali ujinga huu cdm wakiandamana kwa amani wanakumbana na mkono wa chuma wa serikali, wachina wameua mtanzania serikali kmya walipiga raia na askari ktuoni kmya kisa tu ni wawekezaji hii ni toomuch
 
Kwani wasirudi kwao kama wanaona hali ya kiusalama sio nzuri Tanzania. Au wametenda maovu huko kwao ndio wakaamua kukimbilia Tanzania?
 
Walitangaza toka jana kwenye magazeti kadhaa, serikali imeifanya idara ya polisi ya kisiasa zaidi kuliko kiutendaji. Wametoa kipaumbele zaidi kwenye siasa
Usalama utarudi tuu, nadhani polisi wamerudi sehemu zao za kazi, nahisi polisi wetu walikuwa tight Igunga kuhakikisha ushindi unapatikana.
 
Hata tukizunguka sana kwa kujibu kejeli na utani, suala la kuua binadamu yeyote, bila kujali rangi ni baya sana, na kwa serikali iliyo makini inapaswa kutumia vigezo sawia kote.
Pole sana Mchina uliyeuawa, na pole kwa familia husika.
 
Serikali ya watu wa china inawajali sana watu wake maana hiyo issue last week ilitolewa kwenye gazeti la china la kila siku kuwatahadharisha wachinese wanaoishi hapa TZ kuwa makini na Vibaka maana tayari mwenzao ameuliwa.Kwa hiyo hii inawekwa kwenye kumbukumbu zao likijakutokea tena basi na wao wanalipiza kwa wale ndugu zetu wanaoishi au kusoma huko china.Kwa hiyo tusishabikie mtu kuuliwa bali itafutwe sababu ya kwa nini kauliwa na kama hamna sababu basi waliohusika watafutwe na kuchukuliwa hatua za kisheria kwa mujibu wa katiba yetu
 
Kwani wasirudi kwao kama wanaona hali ya kiusalama sio nzuri Tanzania. Au wametenda maovu huko kwao ndio wakaamua kukimbilia Tanzania?
Barubaru,
Hii si kauli sahihi!
Ukisema hivyo unafuta kauli isemayo Dunia ni Kijiji!...warudi kwao wapi?..na je Watz waliozagaa China na mataifa mengine wakirudishwa wote utafurahia?
Kwa namna yoyote ile Usalama wa raia ni jukumu la serikali, na si kulaumu wageni!
 
Inabidi wachunguzwe hao wachina waliondamana, kama wanaishi nchini kihalali au kiwizi wizi?
 
hawa jamaa wameandamana wako huku kurasini opp na jitegemee njia ya kwenda uhamiaji HQ wakilaani mauaji hayo na mh kova yupo hapo alizungumzia sakata hilo na amewaambia tayari watu watatu washakamatwa kuhusiana na sakata hilo

hivi magari yenyewe ndo hayo ambayo yapo mbele ya kituo cha polisi cha kirwa road?nimeona kweli magali zaidi ya mia moja.leo pale highway kurasini nadhani kutakua na foleni sana coz yale ndo maeneo yao ya kujidai.mia
 
heee ina maana na startimes wako off line

evipepelush vyao walivyobandika ktk maduka yao yote kariakoo na kwingineko wanasema "leo tar hatutafumgua maduka kuomboleza kifo cha mchina mwenzetu aliyeuawa na majambazi na tunasikitishwa na hali ya usalama mdogo wa raia pamoja na wageni tanzania" jamani hili la majambazi serikali wanalionaje?[/QUOTE]
 
huu ni unyama bora wangemkomba kila kitu lkn sio kuuwa
labda watakuwa majambazi kutoka arusha lkn wa dar wastaarabu hawauwi hovyo
na watanzania walio china ndugu zetu nao wakiuliwa tusemeje tuwapongeze wauwaji???

Majambazi kutoka Arusha au police kutoka Arusha????
 
moderator, unganisha hii thread na nyingine yenye heading ya "Wachina kuandamana leo" maana ingesaidia kuweka mawazo haya pamoja
 
huu ni unyama bora wangemkomba kila kitu lkn sio kuuwa
labda watakuwa majambazi kutoka arusha lkn wa dar wastaarabu hawauwi hovyo
na watanzania walio china ndugu zetu nao wakiuliwa tusemeje tuwapongeze wauwaji???
Zombe anatoka Arusha....!?
 
Back
Top Bottom