Malyenge
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 6,658
- 3,646
Yeah, kama Jaja alivyokaa muda mrefuYanga ni moja ya timu ambazo wachezaji wake wengi wanakaa kwa muda mrefu kwenye timu bila kuhama
Tujuzane wachezaji watatu bora kuwahi kuvaa jezi za Njano na Kijani yaani Yanga Sc.
Mimi naanza na hawa;
Edibily Jonas Lunyamila
Nadir Haroub Ally Kanavaro
Nonda Shaban Papii
tupe list yako...
wachezaji wote wa kimataifa
#youngafrican#