Huu ni wakati Sasa shabiki wa Simba SC, Popoma mwandamizi na wenzie kuungana kwa pamoja na kuipigia makofi Yanga SC kwa mazuri inayoyafanya

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,206
12,738
Mpaka Sasa ndani ya uongozi wa Simba haifahamiki Nani wa kulaumiwa katika suala la usajili.

Head of scouting au wazee wa ten percent? Walioiba chezaji la CAF(Fabrice Ngoma) pale airport.

Nimeitazama Simba sc kuanzia gemu ya Mtibwa mpaka coastal union hakika hakuna mpira Bali ni vurugu tu.

Baada ya mashabiki wa Simba sc kuhoji aliibuka msemaji wa Simba sc (Ahmedy Ally) na kusema kuwa wao wanahitaji makombe tu na Wala siyo mpira mzuri.

Hiyo kauli ndiyo maana wachezaji wanacheza ili mradi wapate goli Lakini hakuna falsafa za kucheza mpira mzuri.

Nadhani hiyo kauli itafutika baada ya kucheza na timu Bora Africa Al ahly, bila ya kupapasa macho macho kwa Sasa Yanga sc Ina kikosi Bora Tena Bora haswa.

Huu ni muda sahii kwa mashabiki wa simba sc wakiongozwa na popoma mwandamizi kuisifu na kuilaki Yanga sc bila kujali wanasuabikia timu gani.
 
Uko sahihi
 
Simba wana wasiwasi na mechi yao ya kimataifa kuchezea Chamazi, Shida waliyonayo ni namna ya ku chimba uwanja na kufukia makafara pale uwanjani ili wapate ushindi.

Walizoea kabla ya mechi kupewa uwanja na kuchimba chimba kufukia makafara ya kishirikina kabla ya mechi pale kwa mkapa.
Hii imepelekea mpaka baadhi ya maeneo nyasi za asili kuungua na kupoteza ukijani wake wa asili.

Nyasi utafikiri zime pigwa breach zina kua na rangi ya kijivu.
Azam wawe makini awa jamaa wako tayari ku katakata lile kapeti la nyasi bandia ili washinde mechi kishirikina kwa kuchinja na kufukia wanyama mbali mbali.

Kabla na baada ya mechi ya Simba nawashauri Azam wakague vizuri eneo lote la kuchezea mpira pale uwanjani.
Wasipokua makini mudasi mrefu uwanja wao utaharibika vibaya wakati lile kapeti bado jipya.
 
Nina hisia kuwa Simba watakandwa na Power Dynamos second leg maana Power Dynamos walicheza vizuri Sana na kuitungua Simba kabla ya kubaki kumi uwanjani basi Chama akafunga na kujisifu Sana! Kumbe wapinzani wako pungufu uwanjani!

Simba wanaweweseka now Pira papatu papatu lazima wachimbue uwanja wa Chamazi maagizo ya mganga wa kipemba hilo halikwepeki , dawa ni Azam kumuajiri Mwakinyo, Twaha Kiduku na Dulla Mbabe walinde uwanja wao!
 
Mpaka Sasa ndani ya uongozi wa Simba haifahamiki Nani wa kulaumiwa katika suala la usajili.

Head of scouting au wazee wa ten percent? Walioiba chezaji la CAF(Fabrice Ngoma) pale airport.

Nimeitazama Simba sc kuanzia gemu ya Mtibwa mpaka coastal union hakika hakuna mpira Bali ni vurugu tu.

Baada ya mashabiki wa Simba sc kuhoji aliibuka msemaji wa Simba sc (Ahmedy Ally) na kusema kuwa wao wanahitaji makombe tu na Wala siyo mpira mzuri.

Hiyo kauli ndiyo maana wachezaji wanacheza ili mradi wapate goli Lakini hakuna falsafa za kucheza mpira mzuri.

Nadhani hiyo kauli itafutika baada ya kucheza na timu Bora Africa Al ahly, bila ya kupapasa macho macho kwa Sasa Yanga sc Ina kikosi Bora Tena Bora haswa.

Huu ni muda sahii kwa mashabiki wa simba sc wakiongozwa na popoma mwandamizi kuisifu na kuilaki Yanga sc bila kujali wanasuabikia timu gani.
Aahaaaaa subiri aje
 
Nina hisia kuwa Simba watakandwa na Power Dynamos second leg maana Power Dynamos walicheza vizuri Sana na kuitungua Simba kabla ya kubaki kumi uwanjani basi Chama akafunga na kujisifu Sana! Kumbe wapinzani wako pungufu uwanjani!

Simba wanaweweseka now Pira papatu papatu lazima wachimbue uwanja wa Chamazi maagizo ya mganga wa kipemba hilo halikwepeki , dawa ni Azam kumuajiri Mwakinyo, Twaha Kiduku na Dulla Mbabe walinde uwanja wao!
Aaaahaaaa,tuwahi tukamwagie mafuta ya nguruwe mkuu
 
Back
Top Bottom