Wachezaji watatu bora kuwahi kucheza Yanga SC

Tujuzane wachezaji watatu bora kuwahi kuvaa jezi za Njano na Kijani yaani Yanga Sc.
Mimi naanza na hawa;
Edibily Jonas Lunyamila
Nadir Haroub Ally Kanavaro
Nonda Shaban Papii

tupe list yako...
Kwa niliowaona ni
1) Edibily Jonas Lunyamila
2) Constantine Kimanda na
3) Nonda Shaaban

Ukiniruhusu niongezee mmoja nitamuweka Said Nassor Mwamba "Kizota" aka ukiruka nae juu lazima ulambe kipepsi urudi chini unaugulia maumivu ya kifua au pua inavuja damu.
 
Tujuzane wachezaji watatu bora kuwahi kuvaa jezi za Njano na Kijani yaani Yanga Sc.
Mimi naanza na hawa;
Edibily Jonas Lunyamila
Nadir Haroub Ally Kanavaro
Nonda Shaban Papii

tupe list yako...
Nonda sawa ila hao wengine hawana issue yeyote, ni majina tu. Kumbuka Lunya alienda mpaka Marekani kusini (Venezuela) kutafuta timu daraja la 4 hakupata kutokana na kuwa na kiwango kidogo ila hapa Bongo alikuwa staa uchwara.
 
Tujuzane wachezaji watatu bora kuwahi kuvaa jezi za Njano na Kijani yaani Yanga Sc.
Mimi naanza na hawa;
Edibily Jonas Lunyamila
Nadir Haroub Ally Kanavaro
Nonda Shaban Papii

tupe list yako...
Kwa vile huwajui akina Sunday Manara (Computer), Gibson Sembuli na Leodgar Tenga (Msomi)!
 
Mohamed mmachinga
Lunyamila
Kizota
Nemes
Tungaraza
Shaban ramadhani
Method mogela
Mkapa
Kambi
Manyika Sr
Niyonzima
Idi Moshi
Na Timu ya mwaka jana na mwaka huu yoote
 
Tujuzane wachezaji watatu bora kuwahi kuvaa jezi za Njano na Kijani yaani Yanga Sc. Mimi naanza na hawa.

Edibily Jonas Lunyamila
Nadir Haroub Ally Kanavaro
Nonda Shaban Papii

Tupe list yako...
Mtoe canavaro
 
1. Said Maulid SMG, huyu ndio alinifanya nikaipenda Yanga…
2. Nadir Haroub Ally (Cannavaro) huyu ndiye bora muda wote.
3. Shadrack Nsajigwa; Hatokaa atokee mchezaji aliyeipenda Yanga kama huyu, daima ana heshima yangu.
 
Back
Top Bottom