Wachezaji watatu bora kuwahi kucheza Yanga SC

Tujuzane wachezaji watatu bora kuwahi kuvaa jezi za Njano na Kijani yaani Yanga Sc.
Mimi naanza na hawa;
Edibily Jonas Lunyamila
Nadir Haroub Ally Kanavaro
Nonda Shaban Papii

tupe list yako...


Bila ku specify vipindi: miaka, siyo rahisi. Ila across miaka mingi ni:
i. Maulidi Dilunga
ii. Sunday Manara
iii. Saidi Mwamba ( Kizota)
iii. Yanga Bwanga
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom