Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 4,684
- 5,655
Ndio anapata power zaidiAcha mambo yako
..🫵🫵🫵🫵😬😬😬😬
Nalala huku nimeplat quran yaan huyu mbwa akijichanganya tuu nastuka chap nakemea huku kuran ipo.inamkaanga
Ndio anapata power zaidiAcha mambo yako
..🫵🫵🫵🫵😬😬😬😬
Nalala huku nimeplat quran yaan huyu mbwa akijichanganya tuu nastuka chap nakemea huku kuran ipo.inamkaanga
Wote mnakua wachawiMmmmh maza haouse hapna hapan naona kama ntakaova dozi haka.....
Huyu maza ukimkunja tu basi shughuli itaishia hapo hapo
Acha mambo yako
..🫵🫵🫵🫵😬😬😬😬
Nalala huku nimeplat quran yaan huyu mbwa akijichanganya tuu nastuka chap nakemea huku kuran ipo.inamkaanga
Bado ajafanya acha mambo ya hovyo mkuuPopo bawa kesha fanya yake. Na hapo kuhama ni majaliwa
Unaujua moto wa yassin weweWap umeon Quran ikafukuza uchawi?.
Yaan hapo ukimtishia na Quran ni kama unamkaribisha msome wote.
Daaaah hili pepo limeniandama sasaPepo la uzinzi
Kuna sk niliamka nilichek kwa haraka
Ety anafunua blanketi
Anadhan mm sijui.
Oyaaa ahaaa
Ingekuwa mwingn angekimbia
Leo umeshauri kiustaarabu 😅😅Bro oa
Nakubaliana na wewe 100%Hakuna uchawi!
sababu ni kwamba wao almost kila kitu wanafanya in spiritual form na kwa usiri....sielewi ni kwanini?
Mjinga ni wewe.Ni kwanini watu wachawi huwa wanajifanya wana upendo sana? Utakuta kama ni kanisani/ Msikitini wao ndio mstari wa mbele kuhudhuria ibada zote, kutoa michango mbalimbali , kukarimu wageni hapa kwenye kukarimu wageni huwa mstari wa mbele hata kama kumeshapangwa Shekhe au Mchungaji atakula wapi utakuta yeye anasema jambo hilo niachieni mimi nitalimaliza na kweli ana maliza, kukitokea msiba huwa wanaahirisha mambo yao na kuwa karibu na mfiwa na hata kujipenyeza kwenda kuosha maiti.....yaani sielewi ni kwanini?
Ukilala na binti yake ndo umeingia kingi rasmi.Baada ya hapo nimejalibu kuongea na uongozi wangu yaani mshangazi ambao unakujaga kila siku za jmatano.
Jibu analonipa anasema nisihame yeye haogopi uchawi acha apambane naye.
Ila kiukweli mimi naogopa bora nihame an mpaka sasa naogopa kulala maana naona yule jini sijui nani linalogusa wenzake mgongo linaweza kuja tena yaan haijalishi unalala vipi unakuta kitu kama kono sijui nn linakamata mgongo an hapo uwezi tena kujigeuza...
Uchawi upo jamni..
Kesho nina mpango nilale na mwanae huyu mkubwa nataka nimpelekee moto yaan moto haswa alafu mda moto unakolea nakua namuuliza maswali kuhusu mama yake
Full stop
Mwisho
Hapana mkuu haiwezi kua seriouslyUkilala na binti yake ndo umeingia kingi rasmi.
Hapo ndio utakuwa umejiunganisha na huyo mama atakuweka kiganjani kama simu na utakuwa umeingia anga zao vizuri sana.Hapana mkuu haiwezi kua seriously
Kuamini kwamba wachawi na wapiga maombi wanaweza kuponyesha magonjwa yote ni ujima na hii ina-reflect the inadequacy of our (Tanzanian) education system.sababu ni kwamba wao almost kila kitu wanafanya in spiritual form na kwa usiri.
Damu ya Yesu inene mema juu ya mabaya yote yanayokuzunguka na uwe Mshindi katika Yesu Kristo.