20PROFF
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 8,217
- 7,255
Karibu.Asante sana mkuu.ngoja nijiangalie nijione wapi huwa nakosea ili niweze songa mbele.asante sana mkuu
siko vile nilivyokuwa, haimaanishi nipo tofauti.
Karibu.Asante sana mkuu.ngoja nijiangalie nijione wapi huwa nakosea ili niweze songa mbele.asante sana mkuu
Inaelekea unapenda sana masanga ee.asante kwa ushauri piaKwann usiwe unakunywa beer zako mbili unalala ..... Hali ikiendelea ongeza kiwango cha beer .....Nina hakika itapotea kabisa
Sent from my A0001 using JamiiForums mobile app
Akiombewa tatzo lake ni dogonjoo ufanyiwe maombi
Sent from my Infinix HOT 3 LTE using JamiiForums mobile app
Nimekuambia uthibitishe wewe. Mbona unamsukumia mbunge?
Mimi sina jimbo, achilia mbali mbunge.
Narudia tena...hakuna uchawi wala wachawi....
Unajuaje kwamba nilipo kuna wabunge na madiwani?Ni kwa sababu mbunge na diwani ni mtumishi wako, mimi siye...au hujanielewa?
Tete imwe gogo(nimepatia??)Hapana bana nimejikuta nipo milima ya usambaa
Hahahahahahahaha...umenichekesha sana mkuu
Mm nilikuwa kwa mama mmoja nokamwambia usiku naona wachawi tena wanafungia mdani akanambia niwe nageuza nguo kuwa mchawi akikutaga umegeuza nguo hawezi kuingia panda mshana anajua sababu? Ila nasikia nao hugeuza vile vinguo vyao wanavyojifunga chini kabla hawajaondoka.Aiseeh hongera sana mkuu.
Kumbe mchawi hapatani na maji ee..vipi kuhusu kugeuza nguo mkuu??inauhusiano gani??
Mmmhhh kumbe loh hii nimesikia Leo kitimoto alivyo tamu kumbe dawaDuhhh mkuu hio basi ni kiboko.![]()
![]()
![]()
akichanyanya na mifupa ya kitimoto plus kujipaka mafuta yake afu anakula kabisa nyama yake mbona mambo hapo yatakuwa mororo!
![]()
![]()
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Nadhani zamani nilikuwa sijui kusali ila kwa sasa najishangaa iweje nimuone mtu kwa sura yake? Maombi ni zaidi ya hayo yoteHao wachawi wanaokusumbua aidha ni wachawi wa level ya chini sana, au hawajakuamulia tu. Vitu unavotumia kujikinga navyo sio kinga madhubuti luckyline