Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 13,635
- 28,787
Kweli ila ushauri wa kuolewa naona hajauchukulia seriously, hapa tatizo lake ni uoga tu. Uoga wake unapelekea aanze ku hallucinate, kuona mambo ambayo hayapo. Akiishi na mtu iwe mme au ndugu uoga utapungua na hiyo hali itaisha.Mkuu niligundua baad
Mkuu niligundua baadaye kuwa ni mwanamke na ambaye anakaa peke yake.Kwa hiyo ni matokeo ya uoga ndani kukaa peke yake.Akiolewa hutasikia tena akileta mambo hayo hapa.Ukimuiliza atakwambia wakati huo kwa nini "hayaoni" tena hayo "madude" atakuambia kusali kumemsaidia! Ninawaomba wanaume wenzangu (wanaume kweli) tuwasaidie hawa Dada zetu.Wanaangamizwa na wqnaume wapiga pesa.
Waafrika tumeharibikiwa kwa kudhani kila kitu ni uchawi ilhali uchawi wenyewe haupo.