Wachawi wanikosesha usingizi usiku wa leo

Wachawi wanikosesha usingizi usiku wa leo

Ila nimefurahi sana kujadiliana na wewe ila uzidi kufahamu hivi vitu nenda kafanye case study ya Mathematician John F. Nash na mshindi wa Nobel Prize alikuwa na Mental illness inaitwa Schizophrenia na namna his descendant personalities zao zilikuwaje...kisha utapata majibu kuhusu personality........kama ni mvivu wa kusoma tafuta movies inaitwa "Beautiful Mind"
 
Hakuna Uchawi wala Wachawi

Wewe ni mtu wa kuogopewa kama ukoma ama mbunge wa Tanzania.....wengi wenu mnadanganya watu kuwa hakuna uchawi ila usiku mnawaendea kuwachezea. Umekuwa kama mbunge wa Tanzania kusema kuwa hutambui uchawi ila uchaguzi ukikaribia bungeni huonekani upo kwa sangoma kuangusha mitambo.
 
Kama una mke piga shughuli ya maana usiku kila siku utoe 'wazungu' mara tano hivi halafu utalala fofofo, ukigutuka tu kumekucha...........

Sent from my TECNO 7C using JamiiForums mobile app
 
Unaweza kuthibitisha uchawi upo?

Uchawi ni nini?

Unaweza kutafuta mchawi aniloge mpaka nikubali uchawi upo?

Sent from my Kimulimuli
 
Kipindi naripot kazini sasa sekeseke jingineee

Usiku Juu ya bati nilikua nasikia kama watu wanacheza ngoma,, siku nyingine ngine kama wanatembea juu ya bati mara nisikie kama mandege makubwa yanatua juu ya bati.. Na kuna siku moja niliona kama nimelala kitandani pembeni ya kitanda naona kama mtu mrefuuu kasimama kavaa linguo jeusi yani mi nimelala ye kasimama pembeni yangu.

Sa sijaelewa sijui ni uwoga wangu labda sijui ni kweli...
Nami Nina maji ya baraka pia

But badae sikuona tena hayo mauzauza
Sa sijui Wachawi walikua wananikaribisha duhhhhhhhhhhh

Cc Smart911

Sent from Mrs Smart911 using JamiiForums mobile app
Walikuwa wanakukaribisha mahondaw...

Ungejaribu kuvaa zile culture sijui kipembe cha nini kwenye cheni... Kwako ni urembo kwa wenzako wangeona daah.. Katoto kapo fiti siyo... Asubuhi yake unajikuta uchi juu ya mti...
 
Ndio nipo poa kabisa.. Tangu nimalize advance sikuona tena hayo mandoto sa sijui walikua wanafunzi wenzangu sijui kina nani sijui hata make nilisomea bweni na ilikua mchanganyiko wa wanafunzi wengi wengi toka sehemu mbali mbali .

Sent from Mrs Smart911 using JamiiForums mobile app
Boarding zina watu wenye tabia tofauti... Wapo wanga, wachawi, walozi na wengineo...
 
Tabia na silaha ya shetani kubwa ni kukutisha kabla ya kukudhuru na lengo la kukutisha ili ushindwe kuomba cc USIOGOPE!!!hata kwenye biblia limerudiwa mara nyingi USIOGOPE!! akikutisha inuka omba tena ukimtizama hatarudi tena kwa kichapo atakachokula

Sent from my HUAWEI P6-U06 using JamiiForums mobile app
 
Unaweza kuthibitisha uchawi upo?

Uchawi ni nini?

Unaweza kutafuta mchawi aniloge mpaka nikubali uchawi upo?

Sent from my Kimulimuli

Mkuu, una mbunge kwenye jimbo lako au hata diwani tu wa kata.....unaye? Waambie kuwa hakuna uchawi na waambie kila kitu kinachokusibu. Jibu lipo hapo.
 
Mkuu, una mbunge kwenye jimbo lako au hata diwani tu wa kata.....unaye? Waambie kuwa hakuna uchawi na waambie kila kitu kinachokusibu. Jibu lipo hapo.
Nimekuambia uthibitishe wewe. Mbona unamsukumia mbunge?

Mimi sina jimbo, achilia mbali mbunge.
 
Hivi mnavolialia maisha magumu huko bado mnarogana tu ? Pole mkuu.
 
Wewe ni mtu wa kuogopewa kama ukoma ama mbunge wa Tanzania.....wengi wenu mnadanganya watu kuwa hakuna uchawi ila usiku mnawaendea kuwachezea. Umekuwa kama mbunge wa Tanzania kusema kuwa hutambui uchawi ila uchaguzi ukikaribia bungeni huonekani upo kwa sangoma kuangusha mitambo.
Narudia tena...hakuna uchawi wala wachawi....
 
Uokoke na umwamini yesu ndiyo kinga yako!

Sent from my Infinix HOT 4 using JamiiForums mobile app
 
Kama una mke piga shughuli ya maana usiku kila siku utoe 'wazungu' mara tano hivi halafu utalala fofofo, ukigutuka tu kumekucha...........

Sent from my TECNO 7C using JamiiForums mobile app

Mi KE mkuu
 
Wenzako ikifika usiku ni marufuku Kulitamka neno CHUMVI,
huwa tunaita MUNYU,
sasa wewe ita chumvi uje ulale na mazonge...( nimetoka ndani mada maramoja, ila nitarudi baadae)
Kumbe Stunter we wa kunyumba
 
Chakorii pole sana mpenzi usiache maombi kabisa kuanzia nyumbani na ukipata mda wa kwenda kanisani uende kuombewa yatashindwa kwa jina la Yesu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom