Nasali inatosha zamani nilikuwa sijui kusali hata rozali sikuwa nao maji ya baraka nilikuwa sijawahi kuwaza niko poa sasa hiviNenda kamuone daktari.Hata Yesu hakuwahi maisha yake yote hapa duniani kuonana au ku-deal na wachawi! Kwa hiyo jaribu kutafuta tiba ya kisaikolojia.
Njoo unioe mkuuYou're just delusional. Na nahisi wewe ni mwanamke maana ndo wengi huwa na hizi Hali za kufikirika
Uoga wako ndo unapelekea hiyo Hali ila kiuhalisia Hakuna kitu hapo. Uchawi ni story za kusadikika tu
Tafuta mume olewa
Njoo unioe mkuu
You're just delusional. Na nahisi wewe ni mwanamke maana ndo wengi huwa na hizi Hali za kufikirika
Uoga wako ndo unapelekea hiyo Hali ila kiuhalisia Hakuna kitu hapo. Uchawi ni story za kusadikika tu
Tafuta mume olewa
Nakuja PM tuyajengeNjoo unioe mkuu
Nishafika Kigoma mara kibao wilaya zote hadi Manyovu. Sumbawanga na hata Gamboshi bila mafanikio ya kuona traces zozote za uchawiKaa kimya bwana mdogo uchawi upo! Kama unabisha njoo kG ujionee so unasema tuu..Tulishawahi kukimbia nyumba ajili ya wachawi..
Nishafika Kigoma mara kibao wilaya zote hadi Manyovu. Sumbawanga na hata Gamboshi bila mafanikio ya kuona traces zozote za uchawi
Uchawi ni story za kusadikika zinazovuma zaidi kwenye jamii za watu wavivu wa kufikiri na wasioelimika.
Hakuna uchawi wala wachawi ila kuna wajinga.
Ohoooo wapi mond...nimefurahi kukuona swaiba.Hahaaaa, pole sana mamaa hii post yako ndo naiona leo chunga sana wasikulishe chochote hao hata kama ni ndotoni,watakuwekea muhuri ndio wakuteke kabisa..
Hakuna mtu aliyewangiwa na wachawi kama mama kipindi bado tupo wadogo..
Umefikiria mbali sana mkuu.Nashindwa kuelewa muumini akiona wachawi basi anatakiwa aombewe lakini mchungaji yeye pekee akiona basi huwa ni maono hahaaaahaa wakati wote ni binadamu. Imekaaje hii
Kwa jina la Yesu Kristo,ukiombewa tatizo lako ni dogo.njoo ufanyiwe maombi
Sent from my Infinix HOT 3 LTE using JamiiForums mobile app
You're just delusional. Na nahisi wewe ni mwanamke maana ndo wengi huwa na hizi Hali za kufikirika
Uoga wako ndo unapelekea hiyo Hali ila kiuhalisia Hakuna kitu hapo. Uchawi ni story za kusadikika tu
Tafuta mume olewa
Nasali inatosha zamani nilikuwa sijui kusali hata rozali sikuwa nao maji ya baraka nilikuwa sijawahi kuwaza niko poa sasa hivi