Miti7
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 991
- 1,802
Ukiibiwa si ndiyo nyota imefifia?Tunazungumzia kuiba nyota. Na si kufifia Mzee. Kufifia ni mada nyingine au mie ndo sijaelewa mada?
Ni kitu kimoja
Na zinaa kama zinaa haiwezi kutumika kuiba nyota yako
Ila gharama za guest, pombe na kuhonga ndiyo vinaharibu mafanikio yako (nyota yako)