Wachawi wanavyoiba nyota za watu wanafanyaje?

Tunazungumzia kuiba nyota. Na si kufifia Mzee. Kufifia ni mada nyingine au mie ndo sijaelewa mada?
Ukiibiwa si ndiyo nyota imefifia?

Ni kitu kimoja

Na zinaa kama zinaa haiwezi kutumika kuiba nyota yako

Ila gharama za guest, pombe na kuhonga ndiyo vinaharibu mafanikio yako (nyota yako)
 
Nyota ni tabia iliyo ndani ya mtu. Ni tofauti na kipaji. Mfano, wizi.. Mtu anakuwa mwizi na kizazi chake kina kuwa na tabia/hulka ya wizi na udokozi. Mtu anapozaliwa katika familia ya mtu mfanyabiashara ana uhakika wa kusimamia biashara zake vyema kabisa bila kumsumbua kwa kuwa kuna kitu kimetoka kwa uzao wake.. Kifupi nyota ni tabia tu.
Nyota ndiyo kipaji, ndiyo tabia ya mtu ya kuzaliwa, ndiyo kipawa cha mtu

Ni uwezo wa mtu kutumia akili yake na mwili kufanikiwa katika maisha yake
 
Nilishalala mpaka na majini na bado hayakuiba nyota yangu (just kidding)
 
Ukiibiwa si ndiyo nyota imefifia?

Ni kitu kimoja

Na zinaa kama zinaa haiwezi kutumika kuiba nyota yako

Ila gharama za guest, pombe na kuhonga ndiyo vinaharibu mafanikio yako (nyota yako)
Cjawah kuangalia nyota au tabia yangu..
Embu nfanyie feva uniambie nn kinaendelea mkuu

Tarehe 26/6
 
Je unaamini kuwa nyota huibiwa kimuingiliano (Kujamiiana)
Sijui namna inavyoibiwa ila lazima kuwepo na nguvu ya shetani. Maana anaweza kua mtoto ana nyota kuliko mzazi wake. Na mzaz akaichukua nyota ya mtoto kwa namna ajuavyo yeye hapo sidhani kama kufanya mapenzi kutahusika
 
Cjawah kuangalia nyota au tabia yangu..
Embu nfanyie feva uniambie nn kinaendelea mkuu

Tarehe 26/6
Kazi nzuri kwako ni u-nesi, siasa na uandishi wa habari

Namba zako za bahati ni
2, 7, 11, 16, 20, 25

Wachawi wako wakubwa ni
Tabia ya kubadilika badilika(kinyonga) , kukata tamaa , kuchunguza chunguza vitu, kutokujiamini, na kutapeliwa kirahisi
 
Ukiibiwa si ndiyo nyota imefifia?

Ni kitu kimoja

Na zinaa kama zinaa haiwezi kutumika kuiba nyota yako

Ila gharama za guest, pombe na kuhonga ndiyo vinaharibu mafanikio yako (nyota yako)
Kuibiwa ni kuwa huna kabisa. Kufifia ni kuwa nayo lakini imepungua kasi. Mfano (Mimi niliibiwa na nikakutana na mtaalamu akanieleza kuwa Nina nyota ila nyota yangu ni ya kupata na kupoteza.) Just imagine hadi nakwambia ivi nikupe tu mfano ila nateseka kishenzi na hii nyota.
 
Nyota ni tabia iliyo ndani ya mtu. Ni tofauti na kipaji. Mfano, wizi.. Mtu anakuwa mwizi na kizazi chake kina kuwa na tabia/hulka ya wizi na udokozi. Mtu anapozaliwa katika familia ya mtu mfanyabiashara ana uhakika wa kusimamia biashara zake vyema kabisa bila kumsumbua kwa kuwa kuna kitu kimetoka kwa uzao wake.. Kifupi nyota ni tabia tu.
Kama nyota n tabia ya asili.. haina Haja ya kwenda kwa mganga n mtu bnafsi anaitajka kupambana na nafsi yake ad kuacha kufanya vtu vbaya na kufanya vtu vzuri...

Kwan mganga anauwezo wa kumpa nguvu ya kuacha uvivu kwa mtu mvivu ?
 
Kazi nzuri kwako ni u-nesi, siasa na uandishi wa habari

Namba zako za bahati ni
2, 7, 11, 16, 20, 25

Mkuu kuna jamaa huko mwanzoni aliandika umchekie yeye ni amezaliwa November 22nd. Naona umemruka
 
Nyota ndiyo kipaji, ndiyo tabia ya mtu ya kuzaliwa, ndiyo kipawa cha mtu

Ni uwezo wa mtu kutumia akili yake na mwili kufanikiwa katika maisha yake
Kipaji ni kitu ambacho huishi ndani ya mtu bila kupotea. Na nyota huweza kupotea, ni tofauti
 
Kuibiwa ni kuwa huna kabisa. Kufifia ni kuwa nayo lakini imepungua kasi. Mfano (Mimi niliibiwa na nikakutana na mtaalamu akanieleza kuwa Nina nyota ila nyota yangu ni ya kupata na kupoteza.) Just imagine hadi nakwambia ivi nikupe tu mfano ila nateseka kishenzi na hii nyota.
Je mimi nimekusomea nyota yako?
 
Kazi nzuri kwako ni u-nesi, siasa na uandishi wa habari

Namba zako za bahati ni
2, 7, 11, 16, 20, 25
Du.. u-nesi aisee mbona nkionaga wagonjwa waliovunjika nahis kzungungu mwili unaisha nguvu...

Siasa .... yan mm sifuatili siasa kabisa sijui hata mkuu wa mkoa wa sasa wa dar ..hahaha itabid n mgugo aisee

Uandishi wa habar... yaa iyo nahisi naweza kufanya nishawahi andika andika vtabu vya story

Ila saiv nafanya sana programming sasa nayo sijui ndo uhandish wa habar

.................

Swali langu
Sasa mkuu hizo namba Za bahat naztumia wap kwenye kubet au kuomba kaz .???
Naztumia wap? Nsaidie hill tu
 
Programming ni lugha inayotumia computer, ndiyo uandishi huo huo

Kumjua mkuu wa mkoa siyo siasa, mkuu wa mkoa hauhusiani na siasa

Namba za bahati nimemjibu mwingine huko juu fuatilia
 
Back
Top Bottom