Mkuu dolevaby pole sana. Aise kisa chako kimenishtua. Ila hakika mchawi si mtu kabisa wa kukenulia meno. Ukimuweza ni kummaliza tu kiishe. Ninaamini umeshapona tatizo lako. Ila mimi nina fundo ni lazima nilipize kisasi, ila ninatafiti ili nimpate fundi haswa ambaye akitenga tu anamaliza. Niko tayari kusafiri hata kama ni mbali kiasi gani ili mradi tu nihakikishe atafanikisha tu. Siwezi kusema mengi ila kuna mateso sana wanafanyiwa hasa watoto ambao hawana hatia kabisa.Ndg yangu Zogwale sijui imani yako niipi ila kama una huyo ndg yako anataabishwa na wachawi or Mizimu sikushauri ushindane na mchawi Kichawi hutaweza.....Tambua kwamba wachawi hadi wanakufanyia majanga....huwa wanatoa makafara makubwa nailia ujinasue lazima ujue kafara aliyotumia ili ulipe hiyo Gharama then ndio ujue namna yakujinasua sio..Ishu ndogo km inavyofikiriwa kuna watu wamewekeza kwa shetani above 100% acha kabisa nakupa mfano wangu Mimi kuna MTU aliniharibia maisha Kafara aliyotumia alichukua.. sehemu za SIRI za wanawake wawili....ndio aliniapizi nazo sasa niambie utawezaje kulipa fidia ya Kafara kama hiyo ukienda kwa mganga japokuwa atajua kinachokutesa lkn hatakwambia namna yakujinasua ataishia kula Pesa yako tu....Ingawa sijui imani yako lkn....muamini MUNGU wakweli waganga ni Mawakala wa Shetani watakutesa sana
Mkuu dolevaby pole sana. Aise kisa chako kimenishtua. Ila hakika mchawi si mtu kabisa wa kukenulia meno. Ukimuweza ni kummaliza tu kiishe. Ninaamini umeshapona tatizo lako. Ila mimi nina fundo ni lazima nilipize kisasi, ila ninatafiti ili nimpate fundi haswa ambaye akitenga tu anamaliza. Niko tayari kusafiri hata kama ni mbali kiasi gani ili mradi tu nihakikishe atafanikisha tu. Siwezi kusema mengi ila kuna mateso sana wanafanyiwa hasa watoto ambao hawana hatia kabisa.
Daaa.....ina huzunisha na kusikitisha sana
Pole sana mkuu kwa kupoteza uzao wako.
Naomba ufunge kwa wiki moja ukiongea na mungu
hakika utapata majibu ya duku duku lako.
A see...namshukuru MUNGU angalau nimerudi kwenye mstari ila nilitaabika sana....Khs kulipiza kisasi kumng'oa ikibiti utumie manati ya mzungu au namna yyt lkn kwa uchawi utahangaika sana....Tatizo la wachawi wanaua watu lkn niwaoga sana wao kufa....so...wanatumia maKAFARA makubwa pia kijizibdika so hadi umpate kwa kwa uchawi utakuwa umesaga lami sana
Mkuu kanambi,, wewe noma Hiyo store ya kutunzia uchawi kwa watoto wa kike imenifanya nichoke hapa nipo hoi.
Daaa.....ina huzunisha na kusikitisha sana
Pole sana mkuu kwa kupoteza uzao wako.
Naomba ufunge kwa wiki moja ukiongea na mungu
hakika utapata majibu ya duku duku lako.
Pole sana kwa maelezo yako hayo unayo yasema ni kweli wachawiwatakuwa wamemchukuwa mtoto wako. Usingemzika ulipo kwenda nae hospitali ulipoambiwa na Dakatari kuw amtoto wako amefariki ulikuwa umpeleke kwenye kanisa la ufufuo wakamuombee huenda huyo mtoto uliye mbeba alikuwa sio mtoto wako wachawi wamekuwekea mtoto mwengine mtoto wako wamemchukuwa lakini pia hujachelewa mtafute Mchungaji Gwajima wa Kanisa la Ufufuo anaweza kukusaidia kumrudisha mtoto wako.Wanajamvi ndugu yenu nimefiwa,
Nina majonzi sana na hasira kali moyoni mwangu, mke wangu alijifungua juzi saa 2 usiku katika hospitali ya wilaya ya Maswa, mtoto alikuwa wa kike na mwenye afya njema, mzuri wa sura na mchangamfu sana.
Jana mida ya saa 4 usiku tukashangaa kumkuta mtoto kalegea na anatokwa damu masikioni na mdomoni na hakuwa akihema, ikabidi tumkimbize hospitali haraka sana, kufika hospitali tukaambiwa ameshafariki dunia, sikumuuliza Dr ni nini kimemuua mwanangu nilikuwa nimechanganyikiwa, kufika nyumbani mwanangu sura yake ilikuwa imebadilika kabisa na siyo yake.
Mchana wa leo wakati maiti inaandaliwa kuvikwa sanda tumeona mambo yasiyo ya kawaida katika mwili wa mwanangu, mwili wake katika sehemu za mbavu umetobolewa tobolewa na kubadilika rangi ikawa kahawia, kucha zake zote zimekuwa nyeusi kama aliyevilia damu, mwili wake ni wa moto kama vile yu hai.
Wakati alikufa tangu jana usiku, amebadilika na kuwa mweupe kupindukia, nimemzika mwanangu kwa majonzi sana, naapa lazima nitalipa kisasi, roho inaniuma sana ndugu zangu, sina niliyemkosea.
Wanajamvi ndugu yenu nimefiwa,

Toyota Sienta, taa ya check engine imewaka takriban wiki tatu sasa, pia gari ukianza kuondoka inajivuta kama ina sense obstacle mbele, yaani ukikamyaha mafuta inasita kisha inafumguka hata ukiachia, fundi amecheck na kubaini fuel filter imeziba kwa uchafu. Inakuwaje wakati ameisafisha ikawa sawa kwa wiki moja tu tatizo limejirudia, au nimelenga asiye adui?
Umeisoma mada mkuu? Hapa utakuwa umepotea njia
Nimekusoma.