Wachangiaji watato wenye points ktk jf

Wachangiaji watato wenye points ktk jf


Hahaha .. mkuu uiowataja hapo ni watata wote ... uzuri wa jf watu hao ndio wana balance jf ikawa nzuri zaidi ... tunapata upande wa pili wa hoja sio kila kitu ndio tu ...

Malariasugu sijui kapotezewa wapi ?

Pia Napenda sana watu wanaojibu dry bila kuangalia nani aliyeleta hoja ...
 
Last edited by a moderator:
Hahaha .. mkuu uiowataja hapo
ni watata wote ... uzuri wa jf watu hao ndio wana balance jf ikawa
nzuri zaidi ... tunapata upande wa pili wa hoja sio kila kitu ndio tu
...

Malariasugu sijui kapotezewa wapi ?

Pia Napenda sana watu wanaojibu dry bila kuangalia nani aliyeleta hoja
...

umeona eh kaka.
aise hata mimi nashindwa kuelewa huyu Malaria Sugu sijui wamemu westgate ama vipi.
Nalog off
 
sasa sijui nimtaje nani hapa cc
labda ladyfurahia pekee

na kule siasani kuna mijitu inatoa vocal si mchezo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom